Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
Daah wapare tunasemwa sana aiseee.Mimi naonaga kama sehemu zenye milima zina watu wafupi zaidi. [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]sijasema mimi.Daah wapare tunasemwa sana aiseee.
U are right.... kila hugo na kikanyagio maalumu..Kuna nguo nyingine za ofisini/ kanisani bila high/ low heels au wedge shoes haviendi...
Binafsi napenda slippers na simple but kuna aina za nguo simple inagoma kuingia
Sio wajukuu, ni vitukuu na vilembwe. Iliongezeka na lishe ya matobolwa, mchele unaooshwa maji mara tano, sembe ya kulowekwa nyeupe kama theruji, wasichana kuzaa hawajakomaa, nk nk.Mbegu za warefu zilipelekwa ulaya kipindi cha trans Antarctic slave trade wazazi walio baki ni wafupi sie ndo wajuku wao
Maisha bora kwa wote!. Viongozi wa wanyonge. Nchi yenye ardhi, mito, maziwa na bahari inashindwa kuwaelekeza wananchi kulima kujitosheleza kwa chakula miaka 50+ tangu ipate uhuru.
Mzee wa chatle ni mrefu??Kama Tundu Lissu mfupiiiiii na lile tumbo lake basi kama mdoli hivi. Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa