Wilson Joseph
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 312
- 280
Mzee mwenzangu kwa vitu kama hivi data ndo huleta majibu sio ishu ya kuishiMkuu kama haujaishi nje ya TZ ni vigumu sana kukubaliana na utafiti wang
EeehMbona Kilimanjaro na Arusha ina watu warefu wengi?
Au umerefer milima ya Upareni, Usagara na Uluguru
Hapana mkuu nakukatalia hizo nchi ulizotaja watu ni warefu...anzia Zimbabwe shuka chini watu ni warefu walio wengi na wana miili.Hoja ya mtoa mada ni sahihi Sana, nafikiri ni kawaida ya nchi nyingi ya kusini huku, maana hata wabostwana nao si warefu.
Watu wa west na wa congo wengi wana miili ya kushiba na warefu Ila nafikiri ni issue ya vinasaba tu.
Lingine umesahau watanzania wengi ni watu wa kuzubaa sana, siyo watu wa kuchangamkia fursa, sy watu wa kujitoa muhanga Kama ma west Africa na wakongoman. Ukiwa nje ya Tanzania jichanganye na wakongoman utatoboa ila akili iwe kumkichwa sababu wanapenda Sana fweza, wanaigeria nao wako moto tatizo wajivuni wanajiona wao ndy viranja wa Africa na utapeli.
Zambia, Zim, Botswana, Eswatini walevi sana Ila ni washkaji sana na wabongo.
[emoji116]Hoja ya mtoa mada ni sahihi Sana, nafikiri ni kawaida ya nchi nyingi ya kusini huku, maana hata wabostwana nao si warefu.
Watu wa west na wa congo wengi wana miili ya kushiba na warefu Ila nafikiri ni issue ya vinasaba tu.
Lingine umesahau watanzania wengi ni watu wa kuzubaa sana, siyo watu wa kuchangamkia fursa, sy watu wa kujitoa muhanga Kama ma west Africa na wakongoman. Ukiwa nje ya Tanzania jichanganye na wakongoman utatoboa ila akili iwe kumkichwa sababu wanapenda Sana fweza, wanaigeria nao wako moto tatizo wajivuni wanajiona wao ndy viranja wa Africa na utapeli.
Zambia, Zim, Botswana, Eswatini walevi sana Ila ni washkaji sana na wabongo.
Mkuu kuna watu warefu TZ ila scouting ndio ya kiseng#.Kama walimu wa Tanzania wangeshirikishwa kuchagua na kuandaa vipaji Tz ingekuwa na timu nzuri.Kama ukienda kwenye hizi Club za vijana ndio utashtiuka, Wote hakuna anaezidi futi tano mpaka unajiuliza nini kimetokea
Umeandika kimasihara sana ila it is too scientific reasoning.Unajua walipelekwa utumwani walikuwa ni majitu yaliyokuwa makubwa makubwa.Waliobaki ndio sasa mbegu hizi tulizo nazo.Pia nikuambie kingine biashara ya utumwa watanzania ukweli hawakuathirika sana kama nchi za Congo na Africa magharibi na ndo maana wamarekani weusi wengi wana maumbo makubwa na vipaji vya sanaa.Moja ya makabila ambayo hawakwenda utumwani ni Wapare ona walivyo wafupi -----mwisho wa kunukuuMbegu za warefu zilipelekwa ulaya kipindi cha trans Antarctic slave trade wazazi walio baki ni wafupi sie ndo wajuku wao
Nope! american height average ni 5 feet and 9 inches .7.3 American Height