Ni kwanini watanzania tunapenda vitu vya bure?

Ni kwanini watanzania tunapenda vitu vya bure?

Mutangi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2020
Posts
128
Reaction score
248
Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni hela ndogo tu. Kwa mfano mtu yuko tayari kuangalia ads kila baada ya dk 5 kwenye boomplay au Spotify lakini hawezi kusubscribe premium ambayo ni around 7000 kwa mwezi.
YouTube wamekuja na premium plan ambapo unapata pia YouTube music kwa tshs 8300 kwa mwezi. Ukiwa na hiyo matangazo bye bye. Lakini mtanzania hataki kusikia hiyo habari.
Netflix wana plans kuanzia basic hadi premium. Japo standard ndo at least. Hii ni around Tshs 22000 kwa mwezi. Ila mtanzanzia anaona ni anasa. Yani unakuta mtu amenunua smart Tv maybe nchi 43 lakini hayuko tayari kulipia premium services.
Unakuta mtu amedownload Bible kwenye simu, app ina ads kibao. Mtu hataki kulipia hata $2 tu kuondoa ads. Yuko radhi matangazo ya kubet yafunike screen akiwa anasoma Bible.
Kibaya zaidi hata taasisi zetu za kifedha haziko supprtive. At least CRDB hawana complications. Ukitaka kununua kitu online unaingiza namba ya card na security code chap mambo yanaisha. NMB wao hadi uende kwenye branch ujaze form ya kufanya manunuzi online ndo waactivate card.
Tukumbuke hawa developers wanatake time and energy kubuild hizi apps. Sasa kuchangia kidogo tu binadamu hawataki. Kumbuka hakuna kitu cha bure duniani. If you are not paying for the product then you are the product.
 
Tunakimbila Thepiratebay na a2zapk kupata apps za bure za Pc na android. 🤔
 
Uki subscribe boomplay, YouTube, Netflix, sijui trading view si utajikuta kila mwezi unatumia ka 50k +
Hizo site zote zinahitaji internet, so lazma utafute unlimited internet.

So hiyo 50 + 70 unlimited internet inakuja 120k bado kodi ya pango, nauli ya job, msosi, bills za umeme na maji 🤣🤣

Acha tupende tu vya bure
 
Hizo site zote zinahitaji internet, so lazma utafute unlimited internet.

So hiyo 50 + 70 unlimited internet inakuja 120k bado kodi ya pango, nauli ya job, msosi, bills za umeme na maji 🤣🤣

Acha tupende tu vya bure
Umaskini unatutesa sana
 
kwa wafanya biashara Tanzania, tunaijua kuwa ni nchi ya masikini sana,..hivyo hata purchasing power iko chini sana,...
 
Back
Top Bottom