Ni kwanini Watu wa Makao Upanga na Makao Oysterbay wao siwasikii wakilalamikia nyongeza hii 'Kiduchu' ya 23.3% ya Mshahara?

Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Hao huwezi kuwalinganisha na mwalimu sababu;-
1. Pesa ya Kinywaji
2. Pesa ya Chakula
3. Pesa ya Pango
4. Pesa ya umeme na maji
5. Posho safari
 
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Jwtz na tiss maliki street na bongoyo
 
Inasikitisha mno..
9e51e1cd812a52d0d840ee20145f7e93.jpg
 
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Kwasababu wenyewe wanakunya keki, wanakojoa juice na kujamba perfume.

They are breathing flavored oxygen and the world revolves around them.
 
Back
Top Bottom