Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye mshahara daraja la LSS(E)
Huwezi kumkuta kwenye nyuzi za kuulizia mshahara lini [emoji16]
Uzi tayari?!Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Kwani huyu si ni Mwanaume? Au unatania MkuuHuyu sijui kama anapata muda wa kulea watoto na kumhudumia mumewe (KUCHAPWA NAO), yaan kila uchao yy ni kufungua nyuzi ambazo hazina mbele wala nyuma.
Another Fool.Uzi tayari?!
Pumba as always
Huwa wanaamua tu ila wana Pesa nyingi tu Mkuu niamini. Hao wanaogopwa mno na Marais wenu kwani ndiyo Wanamlinda na kumhakikishia Uhai wake na Mumewe Hafidh Ameir na Wakweze akina Waziri Mchengerwa.Kama wanaongezwa kila mwezi mbona wanashinda wakiomba omba bia huku kwenye vibaa mshenzi na kutoa hovyo vitambulisho vyao vya kazi
Akikujibu muulize Yule aliyemfuata Maji Mafupi ( PM ) na akimtaka amuingilie Kinyume na Utaratibu wa Mwenyezi Mungu alikuwa ( nilikuwa ) ni Mwanaume au Mwanamke huku Yeye akijinasibu Kwake kuwa ni Shoga / Punga?Kwani huyu si ni Mwanaume? Au unatania Mkuu
Siwezi kuja hapo kuna Baamedi Mzuri aitwae Mary nilimalizana nae 'Kibaikolojia' na kumuahidi Kumuoa wakati Lengo lilikuwa ni Kumchujia tu Madini yangu ya 'Kibaiolojia' kwa wakati ule kutokana na Minyege yangu. Nikitimba hapo atanijazia Nzi ( Watu ) Mkuu.Hao anawaogopa, kama unabisha njoo hapa Hipro bar nimekaa kaunta nikupe ushahidi,
Leader standard salary scalesNi wakina nani hawa mkuu nimeiona hii sehemu
Wengine hatujapata kabisa na mishahara midogo mshukuru hata mliopata kuduchu.Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Mmehamisha makombora kwa walimu Sasa mnawaekezea Hawa !?Kama wanaongezwa kila mwezi mbona wanashinda wakiomba omba bia huku kwenye vibaa mshenzi na kutoa hovyo vitambulisho vyao vya kazi