GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninasikia Mama anawaogopeni mno.Sisi mambo safi mama kaupiga mwingi
Kusikia kuna tatizo gani? Unanichukia lakini 24/7 huachi Kunifuatilia na Kusoma ama Threads au Posts zangu hapa JamiiForums.Unasikia!!!!
Yeah ninakumbuka Mkuu. Hongereni!Bila sisi asingekuwepo hapo si unakumbuka baada ya jiwe kuchomoka walitaka kupindisha katiba
Mbona wa Makao Oysterbay huwataji?Kazi ya JWTZ,KUIBA UCHAGUZI,JKT KUIBA UCHAGUZI,KINGAI
Wala sikuchukii mkuu The Entertainer, sina sababu hiyo….. nakukubali mno na napenda mno kukufuatilia.Kusikia kuna tatizo gani? Unanichukia lakini 24/7 huachi Kunifuatilia na Kusoma ama Threads au Posts zangu hapa JamiiForums.
Hao huwezi kuwalinganisha na mwalimu sababu;-Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Jwtz na tiss maliki street na bongoyoNasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Ningeshauri Nibloku ( Ignore ) tu Oky?Wala sikuchukii mkuu The Entertainer, nakukubali mno na napenda mno kukufuatilia.
6. Na Pesa ya ( za ) Kuhonga ili kutoa Stress zitokanazo na Majukumu yao wanayodai ni makubwa.Hao huwezi kuwalinganisha na mwalimu sababu;-
1. Pesa ya Kinywaji
2. Pesa ya Chakula
3. Pesa ya Pango
4. Pesa ya umeme na maji
5. Posho safari
Acha kudeka.Ningeshauri Nibloku ( Ignore ) tu Oky?
Astakafilular ladhimHuyu sijui kama anapata muda wa kulea watoto na kumhudumia mumewe (KUCHAPWA NAO), yaan kila uchao yy ni kufungua nyuzi ambazo hazina mbele wala nyuma.
Kwasababu wenyewe wanakunya keki, wanakojoa juice na kujamba perfume.Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Al Mustaqabal ibn mafudhAstakafilular ladhim