Ni kwanini Watu wa Makao Upanga na Makao Oysterbay wao siwasikii wakilalamikia nyongeza hii 'Kiduchu' ya 23.3% ya Mshahara?

Huyu sijui kama anapata muda wa kulea watoto na kumhudumia mumewe (KUCHAPWA NAO), yaan kila uchao yy ni kufungua nyuzi ambazo hazina mbele wala nyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu mnadharau Sana inamaaa Gentamycine analiwa kiboga?
 
Huyu sijui kama anapata muda wa kulea watoto na kumhudumia mumewe (KUCHAPWA NAO), yaan kila uchao yy ni kufungua nyuzi ambazo hazina mbele wala nyuma.
Cha Kushangaza ni kwamba pamoja na Kukasirishwa / Kukerwa Kwako kwa Mimi kuanzisha Mada Kila mara hapa JamiiForums ila bado tu 24/7 huachi Kunifuatilia na Kunisoma.

Tatizo Kubwa dhidi yangu ni tokea Unifuate Maji Mafupi ( PM ) na kusema ( Kujitangaza ) Kwangu kuwa Wewe ni Shoga ( Gay ) na unataka nikuingilie Kinyume na Maumbile na Kukukatalia ndiyo imekuwa Chukizo Kwangu.

GENTAMYCINE nikianzisha Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na za kila mara Wewe zinakupunguzia nini au zinakuathiri nini? Nikizianzisha huwa nakuita kuja Kuzisoma?

Hivi hujiulizi / hamjiulizi tu kuwa pamoja na Kunichukia Kwenu Kutwa na Kunihubiria Chuki na Majungu hapa JamiiForums lakini bado nakubalika na Watu ( Members ) tena wa Kada mbalimbali huku idadi ya 'Followers'wangu ikiongezeka tu kila Uchao?

Lawama zenu juu yangu zipelekeni kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiyo ameniumba na Kunibariku kwa Tunu ( Shani ) zote hizi ambazo ni Chukizo Kwenu Wapumbavu na Waswahili mliorithishwa na Waliowazaa.

Uongozi wa JamiiForums umeweka Kitufe cha Ignore ( Block ) sasa kama Shoga ( Gay ), Mpumbavu na Uncircumcised Baboon Wewe pamoja na hao Wenzako wote waliokupa 'Likes' mnajua hamnipendi GENTAMYCINE mnashindwa nini Kunibloku au Kuachana na MImi?

Sijawahi Kupendwa na Wapumbavu.

Nimemaliza.

Cc: Basi Nenda, mpwayungu village, formula2, InvisibleTarget, Maghayo, thabit karim etc
 
Kama Mamaako.
 
Hili jamaa nyuzi zake zote utumbo tu sijui akili zake ni zezeter
Cha Kushangaza ni I kwamba pamoja na Kukasirishwa / Kukerwa Kwako kwa Mimi kuanzisha Mada Kila mara hapa JamiiForums ila bado tu 24/7 huachi Kunifuatilia na Kunisoma.

Tatizo Kubwa dhidi yangu ni tokea Unifuate Maji Mafupi ( PM ) na kusema ( Kujitangaza ) Kwangu kuwa Wewe ni Shoga ( Gay ) na unataka nikuingilie Kinyume na Maumbile na Kukukatalia ndiyo imekuwa Chukizo Kwangu.

GENTAMYCINE nikianzisha Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na za kila mara Wewe zinakupunguzia nini au zinakuathiri nini? Nikizianzisha huwa nakuita kuja Kuzisoma?

Hivi hujiulizi / hamjiulizi tu kuwa pamoja na Kunichukia Kwenu Kutwa na Kunihubiria Chuki na Majungu hapa JamiiForums lakini bado nakubalika na Watu ( Members ) tena wa Kada mbalimbali huku idadi ya 'Followers'wangu ikiongezeka tu kila Uchao?

Lawama zenu juu yangu zipelekeni kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiyo ameniumba na Kunibariku kwa Tunu ( Shani ) zote hizi ambazo ni Chukizo Kwenu Wapumbavu na Waswahili mliorithishwa na Waliowazaa.

Uongozi wa JamiiForums umeweka Kitufe cha Ignore ( Block ) sasa kama Shoga ( Gay ), Mpumbavu na Uncircumcised Baboon Wewe pamoja na hao Wenzako wote waliokupa 'Likes' mnajua hamnipendi GENTAMYCINE mnashindwa nini Kunibloku au Kuachana na MImi?

Sijawahi Kupendwa na Wapumbavu.

Nimemaliza.
 
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Sijui kwann nakua mgumu kuelewa
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Ila wale wanaviapo vya kumtii amiri jeshi mkuu kwa shida na raha, kufa na kupona...
 
Mtu mwenye mshahara daraja la LSS(E)

Huwezi kumkuta kwenye nyuzi za kuulizia mshahara lini [emoji16]
 
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Wao sio kima Cha chini walakaya maskini kama wewe hapo na waliokutuma.
 
Huyu sijui kama anapata muda wa kulea watoto na kumhudumia mumewe (KUCHAPWA NAO), yaan kila uchao yy ni kufungua nyuzi ambazo hazina mbele wala nyuma.
Duuh hii dhihaka mkuu.
Kumdhihaki mwanaume kiasi hicho unajishisha sana mkuu.

Hata kama humpendi si sawa kumdhihaki namna hii.
 
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.

Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Hao anawaogopa, kama unabisha njoo hapa Hipro bar nimekaa kaunta nikupe ushahidi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…