NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado wanatumia excel, yani kitu kimoja wanajaza mara tatu tatu au zaidi
Kwanini hakuna mazoea ya kutumia Microsoft access ambayo imerahishisha haya mambo kwa kutunza data kwa mfumo wa database.
Access inaruhusu ujenzi wa mahusiano ya data kati ya tabo tofauti. Hii inafaa sana kwa biashara ambazo zinahitaji kuhifadhi taarifa kwa njia ambayo tabo zinahusiana na kila mmoja.
Access inaweza kubuni ripoti za kina na muundo maalum ambao unafaa mahitaji yako.