Ni kwanini wiki 1 au 2 kabla ya Kilele cha Sikukuu ukitongoza Mwanamke ni ngumu kukataliwa?

Ni kwanini wiki 1 au 2 kabla ya Kilele cha Sikukuu ukitongoza Mwanamke ni ngumu kukataliwa?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,643
Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na Krismasi uwezekano wa Wewe Kukataliwa ( Kutoswa ) naye ni 0%?

Wajuzi wa hili hebu njooni mtupe Elimu na Uzoefu wenu kwani wengine hadi sasa tunajuta hata kuwajaribu Kuwatongoza.
 
Back
Top Bottom