Ni kwanini Yanga haipo kwenye Ranks ya Team kubwa za Afrika?

Ni kwanini Yanga haipo kwenye Ranks ya Team kubwa za Afrika?

Ni kwa sababu mpira sio siasa!
Yanga hakuna siasa ya mpira bali kuna mpira wa siasa.
Mwenye masikio na asikie
 
Msisitizo wangu ni vigezo vilivyotumika. Bila ya vigezo hivyo, orodha nzima inabaki kuwa ni paukwa-pakawa tu. Si tofauti na uteuzi wa mocha bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Unadhani Pluijm atashtuka au kuamini kwamba Mbwana Makata ni kocha bora zaidi yake?
Ila mimi sijapata kujinadi kuwa ni mpenzi wa Yanga. Mimi ni mtetezi wa Yanga na Simba dhidi ya jeuri, kebehi, kejeli na dharau kuwa vilabu hivyo si chochote mbele ya timu zinazoonekana kuchipukia kama Azam. Kadhalika ni mgomvi mkubwa wa hoja zisizokamilika na zinazopotosha. Ndio maana huwa napingana sana na waandishi wetu wa habari, hasa za michezo, sambamba na wachangiaji wapotoshaji humu JF.

mbona kma imekuuma sana.??andaa list yako basi uweke na vigezo vyako unavyovitaka.!!
 
Kandambili tutaendelea kumkanyaga na kumpeleka chooni. Kandambili hawezi tambulika na CAF.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kandambili tutaendelea kumkanyaga na kumpeleka chooni. Kandambili hawezi tambulika na caf.

Sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
hawa walioko kwenye ranks za timu kubwa afrika kutoka tza ziko wapi kwa sasa ? Afadhali hata yanga alifikia 16 bora na sasa bingwa .yanga oyeee.

 
Back
Top Bottom