Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisitizo wangu ni vigezo vilivyotumika. Bila ya vigezo hivyo, orodha nzima inabaki kuwa ni paukwa-pakawa tu. Si tofauti na uteuzi wa mocha bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Unadhani Pluijm atashtuka au kuamini kwamba Mbwana Makata ni kocha bora zaidi yake?
Ila mimi sijapata kujinadi kuwa ni mpenzi wa Yanga. Mimi ni mtetezi wa Yanga na Simba dhidi ya jeuri, kebehi, kejeli na dharau kuwa vilabu hivyo si chochote mbele ya timu zinazoonekana kuchipukia kama Azam. Kadhalika ni mgomvi mkubwa wa hoja zisizokamilika na zinazopotosha. Ndio maana huwa napingana sana na waandishi wetu wa habari, hasa za michezo, sambamba na wachangiaji wapotoshaji humu JF.
Kumbe umenielewa kwamba vigezo ni muhimu! Ahsante kwa hilo.mbona kma imekuuma sana.??andaa list yako basi uweke na vigezo vyako unavyovitaka.!!
hawa walioko kwenye ranks za timu kubwa afrika kutoka tza ziko wapi kwa sasa ? Afadhali hata yanga alifikia 16 bora na sasa bingwa .yanga oyeee.kandambili tutaendelea kumkanyaga na kumpeleka chooni. Kandambili hawezi tambulika na caf.
Sent from my blackberry 9320 using jamiiforums