Ni kwavile ni Chibu Diamond

Ni kwavile ni Chibu Diamond

Imekuwa ni habari kubwa mno mpaka kwenye mashirika makubwa ya habari ulimwenguni BBC, DW nk.

Mahojiano ya Diamond kwenye kituo cha habari cha MAWINGU na 'KUKIRI' kwake kwamba mtoto w Hamisa Mobeto ni wake.

Ni kwavile ni Diamond na Zarina (hongera zake huyu binti wa KINYANKOLE anajitambua sana), LAKINI ni wangapi kati yetu tunafanya haya mambo daily? Ni wa ngapi kati yetu tunazikana mimba daily!!! Ni wangapi yetu tunazisaliti ndoa zetu na mahusiano daily???
Tuache unafique kabisa.

Tupambane na hali zetu asilimia 90% ya wanaJF hatumfikii Domo hata robo ya diamond yanawatokea wengi wetu ila hili lina mijadala mingi kwakuwa ni Diamond
Mkuu Hakika... Ukijiuliza tu wangapi ni Masingle Parent Humu kwa sababu ya kukataliwa, au Kutegewa Mimba au Kutegeshewa Mimba? Ila humu ndiyo hao hao wanaomsogoa Zari na ni hao hao wanaomsogoa Dimond kuwa amecheat au ni haop hao ambao wanamsogvoa Hamisa kukubali kupigwa Mimba na Dimond...

Nilishasema kuwa Humu JF ni sawa na kule mtaani kwako, yanayotokea humu yanafanywa na hawahawa wa humu JF kwa hiyo Leo wanatamani wajitokezee kwenye Media waseme Lolote? Kuna wanaosema kuwa Dimond angeenda Ustawi wa Jamii Je kwenda kwenye Media ameekiuka Kazi na Majukumuu ya Ustawi wa Jamiii... Bado kuna watu wamemshikia Kichwa Hamisa na Kumwambia kuwa na Yeye aendee kwenye Media aongee ukweli.. Unadhani wanamsaidia au ndio wanamharibia Dimond? AU NI AIBU KWA WAZAZI WA DIMOND NA HUYO HAMISA WALIOKUWA WANATAKA KULAZIMISHA NDOA KWA LAZIMA ILI KUMKOA ZARINA...

Kikubwa kama wadau fulani walivyo sema Siku zote MAHUSIANO YA MWANAMKE YANAVUNJA NA MWANAMKE MWENZIE NA MWISHO AKAMNALIZIA KUWA WANAWAKE HAWAPENDANI. AWE AMESOMA ASIWE AMESOMA WOTE WANAFANA
 
It's very simple yeye ni kioo ya jamii na influence r wa millennials kwahiyo kila ujinga watoti wanachukulia Kama no kawaida kufanya.
 
Dimond ni mzinifu mzembe katupa aibu kubwa wanaume....Siku zote mwanaume wa kweli hawezi kukubali mbele za watu Kuwa kamsaliti mkewe na kulia lia ili aonewe huruma.

Mwanaume wa kweli hata ukipatakina ushahidi Kuwa analala na mwanamke mwengine huwa tunakana,tunakula viapo na kujiapiza Kuwa sio kweli na mkeo akileta ubishi ubishi unamtia na vibao kwa kukusingizia uongo.

Hii kitu aliofanya Dimond kaonesha Kuwa hana uzoefu kwenye Hii michezo ya wanawake na kamdhalilisha sana Zari.

Kwenye hili inabidi ajifunze kwa Ali Kiba watoto watatu na kila mtoto na mama ake lakini hakuna hata siku moja uliosikia wakigombana mitandaoni na kutoa picha zao za kitandani
 
Back
Top Bottom