Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hakika... Ukijiuliza tu wangapi ni Masingle Parent Humu kwa sababu ya kukataliwa, au Kutegewa Mimba au Kutegeshewa Mimba? Ila humu ndiyo hao hao wanaomsogoa Zari na ni hao hao wanaomsogoa Dimond kuwa amecheat au ni haop hao ambao wanamsogvoa Hamisa kukubali kupigwa Mimba na Dimond...Imekuwa ni habari kubwa mno mpaka kwenye mashirika makubwa ya habari ulimwenguni BBC, DW nk.
Mahojiano ya Diamond kwenye kituo cha habari cha MAWINGU na 'KUKIRI' kwake kwamba mtoto w Hamisa Mobeto ni wake.
Ni kwavile ni Diamond na Zarina (hongera zake huyu binti wa KINYANKOLE anajitambua sana), LAKINI ni wangapi kati yetu tunafanya haya mambo daily? Ni wa ngapi kati yetu tunazikana mimba daily!!! Ni wangapi yetu tunazisaliti ndoa zetu na mahusiano daily???
Tuache unafique kabisa.
Tupambane na hali zetu asilimia 90% ya wanaJF hatumfikii Domo hata robo ya diamond yanawatokea wengi wetu ila hili lina mijadala mingi kwakuwa ni Diamond
Kabisa mkuu. Nyani haoni kundule!Kuna mengi na magumu kwenye haya mambo, ila watu baki hupenda kushangilia magumu ya wengine bila tafakuri, huku wengine wakiongozwa na wivu tuu