Ni kwel wachungaji wetu hawa wanatajirika na sadaka hizi hizi ama kuna mengine hatuyajui?

Ni kwel wachungaji wetu hawa wanatajirika na sadaka hizi hizi ama kuna mengine hatuyajui?

kama pastor Tony kapola, kakanisa kadogo ila yeye unaendesha madude ya maana
 
1. Drugs....

2. Matrilioni yanayopigwa kutoka kwenye deni la mama mengi yanapitia kwao ili kuhalalishwa (money laundering)....

3. Wengine nguvu za giza

4. Wachache wana biashara "halali" - zikiwemo za kuuza mafuta ya upako, udongo, chumvi, maombi n.k.

Halafu kumbuka hawalipi kodi. Kila kitu ni bure. Easy life!
 
Back
Top Bottom