Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?


kuna tofauti kati ya wastani na ukomo, mungu wa biblia hakuweka wastani, aliweka ukomo, ila watu wamezidi huo ukomo.. hapo ndipo kuna utata kwamba inakuaje maandiko ya biblia yanakinzana na hali halisi..
 
MUNGU yupo na ndo maana hachunguziki
umesema Mungu ana nafsi 3 na hizo nafsi zinazidiana kiuwezo na nafsi moja ilikufa ,zikabaki mbili hivyo uwezo wa kutenda kazi ulipungua kwa kiasi kikubwa, sasa Mungu gani ambaye anafaa kuabudiwa hali ya kuwa hajakamilika


Msimgawe Mungu kama tairi za bajaji
 
Maana ya SOMO hilo ni hii mti usiozaa ni watumishi wake ambao hawaifanyi kazi aliyowatuma kuhubiri injili yake ili watu wake ambao ndo matunda waokolewe wakishindwa watalaaniwa
 
Ukisema binadamu miaka inavyo zidi kwenda umri wake wa kuishi ndivyo unazidi kupungua inamaana miaka ya baadaye binadamu atakuwa anishi maisha kama ya nzi akikaa siku saba anakufa?
 
Maana ya SOMO hilo ni hii mti usiozaa ni watumishi wake ambao hawaifanyi kazi aliyowatuma kuhubiri injili yake ili watu wake ambao ndo matunda waokolewe wakishindwa watalaaniwa
sasa si ndio ukaidi wenyewe huo, yaan we unamtuma mtu atende jambo fulani lakini akishindwa kufanya ipasavyo una mlaani maana yake nini sasa??


Hivi unajua maana ya upole na unyenyekevu wewe??
 
Alafu huyo Yesu ana nyodo sana. Kuna mama alimfuata ambaye si mu israel amsaidie yesu akamjibu kwa dharau "Siwezi kutoa chakula cha watoto na kuwapa mbwa"
 
Tatizo shabiry anasoma kutoka kulia kwenda kushoto so...haiwezi kuleta maana ile ile.
 
Ukisema binadamu miaka inavyo zidi kwenda umri wake wa kuishi ndivyo unazidi kupungua inamaana miaka ya baadaye binadamu atakuwa anishi maisha kama ya nzi akikaa siku saba anakufa?
hahahaha hapana sikua na maana hiyo ijapo ni kweri kila zama za utawala wa mtume fulani kuna ukomo wa miaka na kwa sasa kwakuwa ni utawala wa mtume muhamadi na ndio mwisho wa mitume hadi kiyama kinasimama muda wa maisha ya wastani wa kuishi kwa mwanadu utabaki huu wa 65 na 86
 
Pasipo yeye hakikufanyika chochote. MUNGU kujigawanya ktk nafsi 3 ni ili a control mambo yote. Nafsi zake zinazidiana. Baba ni nafsi kuu. MTU mwenye dhambi akiiona lazima age. MWANA ni ya pili amejiweka ktk maumbo ya viumbe wake. Roho ni roho yake
Katika dini ya mafarao wa misri, ambayo ni dini ya zamani kuliko Ukristo, kuna mungu katika nafsi tatu,

Horus = mungu mwana. (sun of god)
Osirus = mungu baba
Isis = mungu mama

Je Mafundisho(dhana) haya ya dini ya kimsri yanafanana na dini ya kikristo? Jibu ni ndio. Ukristo uli-copy nadharia ya utatu kutoka misri.
 
"Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu" 1 Wakorintho 1:18
 
MUNGU kujigawa ktk nafsi 3 alijuwa kuwa kiumbe bora lakini kidhaifu ambacho ni mwanaadamu kitaanguka dhambini. Hivyo akaweka mpago maalumu WA kumkomboa mwanaadamu kwa kujigawa ktk hizo nafsi 3 kwa kazi maalumu kama ifuatavyo. Nafsi Baba I control mambo yote ya ki MUNGU ndo maana mwenye dhambi akiiona hiyo nafsi hufa. Ya pili MWANA ambayo ndo Yesu alipunguza utukufu wake ili apate kukaa na watu wenye dhambi na watakatifu. wenye dhambi wasife kwa ule utukufu WA BABA. Na hiyo nafsi ilikufa kweli kwa kuthibitisha kile alichosema wenye dhambi watakufa lkn yeye hakuwa na dhambi lakini alibeba dhambi zetu. lakini kwa uweza WA ki MUNGU alifufuka. Nafsi ya 3 Roho maana yake nikuwa ile nafsi MWANA ikiondoka Roho yake itabaki ikisema na kuwafundisha watu wake mpaka siku ya hukumu. Linganisha Yesu WA kipindi kile ambaye alikula na kunywa na yote ulosema na Yesu WA siku ya kiyama KILA JICHO LITAMWONA. na Kule kumwona tu lazima uonje mauti kutokana na utukufu wake. Huyo ndiye muumbaji wetu Mbarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…