wa4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 158
- 65
MUNGU maana yake ni muumbaji. Yesu ni muumbaji maana pasipo yeye hakikufanyika chochoteNa wewe elezea Yesu ni Mungu kivipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU maana yake ni muumbaji. Yesu ni muumbaji maana pasipo yeye hakikufanyika chochoteNa wewe elezea Yesu ni Mungu kivipi??
duh.. mkuu umepika pilau la mlenda.MUNGU maana yake ni muumbaji. Yesu ni muumbaji maana pasipo yeye hakikufanyika chochote
hilo swali ka remix ya DJ Khaled [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wanasayansi wanavyo sema Sisi tulikua nyani nani alikwepo alafu mtume kasoma Shule gani
Yesu aliumba nin?? Af kama mnavyosema kwamba yesu alifariki na Yesu mnavyoamini ni Mungu , na kama tunavyojua kuwa Mungu ndiye ana control dunia sasa huyo Mungu wenu ambaye ni Yesu alivyokufa nan alikuwa anaendesha dunia??MUNGU maana yake ni muumbaji. Yesu ni muumbaji maana pasipo yeye hakikufanyika chochote
Na kama tunavyojua mama ana mamlaka kwa mtoto, sasa je huyo mama yake yesu(mungu wa kikristo) ina maana ana mamlaka kuliko Mungu na anaweza akamuamuru Mungu nin cha kufanya??MUNGU maana yake ni muumbaji. Yesu ni muumbaji maana pasipo yeye hakikufanyika chochote
mamaake yesu alitumika tu kumzaa yesu, according to the bible, hana ishu..Na kama tunavyojua mama ana mamlaka kwa mtoto, sasa je huyo mama yake yesu(mungu wa kikristo) ina maana ana mamlaka kuliko Mungu na anaweza akamuamuru Mungu nin cha kufanya??
hapa unaona kabisa Lutu anawatoa sadaka binti zake wakafanywe jinsi itakavyowapendeza watu wa Sodoma, wakati anajua kabisa watu wa sodoma wanakula kiboga.."Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote. Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.
Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.
Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu."
* * * * * * * * * * * * * * *
Ukiambiwa mama tafsiri yake ni kanisa. Mariamu alikuwa ni kivuli cha kanisa tu mkuu ulisikia kwamba alilala na nani ndo akaipata hiyo mimbaNa kama tunavyojua mama ana mamlaka kwa mtoto, sasa je huyo mama yake yesu(mungu wa kikristo) ina maana ana mamlaka kuliko Mungu na anaweza akamuamuru Mungu nin cha kufanya??
duuuh aisee hii kali, mama maana yake kanisa, haya nijibu na yale mengine yaliyobakiUkiambiwa mama tafsiri yake ni kanisa. Mariamu alikuwa ni kivuli cha kanisa tu mkuu ulisikia kwamba alilala na nani ndo akaipata hiyo mimba
Yapi mkuuduuuh aisee hii kali, mama maana yake kanisa, haya nijibu na yale mengine yaliyobaki
Pitia sehemu nilizo ku quote utayaonaYapi mkuu
Alafu yesu alikuwa analia "Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha" sasa alikuwa akimlilia Mungu yupi hali ya kuwa yeye ndiye MunguYapi mkuu
Alafu kitu kingine Yesu hakuwa na adabu hata kidogo, alikuwa akimwita mama yake "we mwanamke "Jifunzeni kutoka kwa Yesu maana ni mpole na mnyenyekevu
Pasipo yeye hakikufanyika chochote. MUNGU kujigawanya ktk nafsi 3 ni ili a control mambo yote. Nafsi zake zinazidiana. Baba ni nafsi kuu. MTU mwenye dhambi akiiona lazima age. MWANA ni ya pili amejiweka ktk maumbo ya viumbe wake. Roho ni roho yakeYesu aliumba nin?? Af kama mnavyosema kwamba yesu alifariki na Yesu mnavyoamini ni Mungu , na kama tunavyojua kuwa Mungu ndiye ana control dunia sasa huyo Mungu wenu ambaye ni Yesu alivyokufa nan alikuwa anaendesha dunia??
Na ikiwa Yesu ndiye Mungu alikuwa akiomba msaada kwa Mungu gani??
Na pale aliposema anaenda kukaa upande wa kulia wa Mungu ni Mungu yupi??
bibilia imeeleza mambo ya nyakati tofauti mfano ni kuwa wakati iliposema miaka 120 ni zama za utume wa yesu wastani wa maisha ya mwadamu ndio huo ama huko nyuma ilikua zaidi ya hapo na kama ilivyo kwa sasa wastani wa maisha ya mwanadamu ni kati 65 na 85Uongo mwingine huu..
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.
MWANZO 7:6
Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
* * * * * * * *
huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..
Hatari sana.
Aisee uongo mwingine huu"Mungu ana nafsi" duuh hatariPasipo yeye hakikufanyika chochote. MUNGU kujigawanya ktk nafsi 3 ni ili a control mambo yote. Nafsi zake zinazidiana. Baba ni nafsi kuu. MTU mwenye dhambi akiiona lazima age. MWANA ni ya pili amejiweka ktk maumbo ya viumbe wake. Roho ni roho yake
KaragabahoAisee uongo mwingine huu"Mungu ana nafsi" duuh hatari
kwa hiyo inamaana Mungu naye hayupo perfect??Pasipo yeye hakikufanyika chochote. MUNGU kujigawanya ktk nafsi 3 ni ili a control mambo yote. Nafsi zake zinazidiana. Baba ni nafsi kuu. MTU mwenye dhambi akiiona lazima age. MWANA ni ya pili amejiweka ktk maumbo ya viumbe wake. Roho ni roho yake
ila bado hujajibu swali soma vizuri alafu unijibuPasipo yeye hakikufanyika chochote. MUNGU kujigawanya ktk nafsi 3 ni ili a control mambo yote. Nafsi zake zinazidiana. Baba ni nafsi kuu. MTU mwenye dhambi akiiona lazima age. MWANA ni ya pili amejiweka ktk maumbo ya viumbe wake. Roho ni roho yake