Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Af biblia hiyo hiyo inakwambia yesu alitumwa kwa wana israel

"Sikutumwa ila kwa kondoo aliye potea wa wana wa israel"

"Ewe bethelem katika majumbe ya Yuda hu mdogo kamwe katika majumbe ya Yuda kwa kuwa kwako atatoka mtawala atakae wachunga wana wangu wa israel"
wahubiri wanaujua ukweli, ila kwa vile hio dini inawafaidisha wameona waseme yesu amekuja kwa ajili ya dunia nzima ili wapige hela.. kwenye misa vinakuja vikapu vitatu, kimoja cha sadaka, kingine cha mchango, kingine hela ya maombi..

mchungaji ataacha kuota kitambi? wajinga ndio waliwao.
 
Roho ni nini?

Unaweza kuthibitisha roho ipo?
Leo tarehe 6/9/2016 nakushauri tena tengua kauli zako zote ulizo mtusi Mungu,

Utakuja kujuta kipindi cha sakratul mauti,na nakuhakikishia utaomba angalau dakika moja utubu lakini itashindikana
Pindi usomapo hii post yangu haraka sana katengue kauli maana huwezi jua ,yawezekana leo ndio ikawa mwisho wako wa kukuona humu jukwaani

Na hata kipindi utakapo pelekwa motoni malaika atakukumbusha tena haya maneno
 
huyo hela zake zakishetani ndo maana hawezi kuwa upande wa mwenyezi mungu
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Nyie ndio mnaoua vibibi vizee vyenye macho mekundu kwa kuvisema ni vichawi kumbe macho mekundu kwa sababu ya moshi wa kuni.

Ujinga tu.
Soma zaburi 53:1
 
Leo tarehe 6/9/2016 nakushauri tena tengua kauli zako zote ulizo mtusi Mungu,

Utakuja kujuta kipindi cha sakratul mauti,na nakuhakikishia utaomba angalau dakika moja utubu lakini itashindikana

Pindi usomapo hii post yangu haraka sana katengue kauli maana huwezi jua ,yawezekana leo ndio ikawa mwisho wako wa kukuona humu jukwaani

Na hata kipindi utakapo pelekwa motoni malaika atakukumbusha tena haya maneno
Niko tayari kutengua kauli zangu zote na kutubu kama ukinithibitishia Mungu yupo kwanza.

Unaweza kuthibitisha hilo?
 
Leo tarehe 6/9/2016 nakushauri tena tengua kauli zako zote ulizo mtusi Mungu,

Utakuja kujuta kipindi cha sakratul mauti,na nakuhakikishia utaomba angalau dakika moja utubu lakini itashindikana

Pindi usomapo hii post yangu haraka sana katengue kauli maana huwezi jua ,yawezekana leo ndio ikawa mwisho wako wa kukuona humu jukwaani

Na hata kipindi utakapo pelekwa motoni malaika atakukumbusha tena haya maneno
Hiki kilevi ulichokunywa ni kikali sana
 
Hujajibu swali.

Kwa sababu huna jibu.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.

Sasa mimi niliyeuliza maswali na wewe uliyeshindwa kuyajibu mpaka umenitukana, nani yupo frustrated hapo?
Sijakutukana soma Zaburi 53:1
 
Soma zaburi 53:1
Nimeisoma, haijathibitisha kwamba Mungu yupo.

Mimi nataka uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Mpumbavu anaogopa sana kuitwa mpumbavu kuliko anavyoogopa upumbavu wenyewe.

Hiyo Zaburi imewashikia akili kwa sababu imewatia woga wa kuitwa wapumbavu kiasi mnaogopa kuitwa wapumbavu kuliko mnavyoogopa upumbavu wenyewe.
 
Kwa njia yoyote ambayo ipo logically consistent na consistent with observed reality.
Mwana sayansi Neil Armstrong aliweza kusikia adhana mwezini, sasa we jaribu kufikiri umbali uliopo duniani na mwezini lakini aliweza kuisikia vizuri na kui record japo kuwa kwa wakati huo hakujua yale maneno yanaaashiria nini
mpaka pale alipotembelea misri ndipo aliposikia tena yale maneno na kumfanya abadili dini
 
Back
Top Bottom