Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Wala hao babu zako unaowasema hawako motoni maana siku ya hukumu haijafika bado.ila kwa kukusaidia uelewa kidogo no kwamba, kipindi hicho cha mababu walikuwa chini ya sheria hivyo watahukumiwa kulingana na matendo Yao maana utambuzi wa mema na mabaya ulikuwa ndani ya mioyo Yao.hata Kama hawakumjua Mungu lakin sasa hatuko chini ya sheria tena Bali chini ya Imani katika Kristo. Yesu ndio agano la mwisho kuelekea hukumu hakutakuwa na agano jingine tena Bali hukumu atakaporudi kwa Mara nyingine.
Kama mtu atahukumiwa kwa matendo yake je yesu ni wanini?

Je Imani bila matendo ni bure? Au
Matendo bila imani ni bora?
 
Akili ndogo mnooo.
Kwanza elewa binadamu hakuumbiwa kufa ila dhambi zetu ndo zimetufikisha hapa.
Ukisoma vizuri utagundua kuwa umri wa kuishi uliendelea kupungua miaka ilivyoendelea toka kuumbwa kwa Adam mpaka pale Mungu alupoweka kikomo/wastani wa kuishi kwa mwanadamu.
Chunguza vizuri maandiko
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, pale mwanzo kabisa, kabla ya chochote au yeyote kuumbwa, hakuamua kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote hauwezekani?

Kwa nini kaumba ulimwengu huu ambao ubaya unawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Wewe ni lipumbavu la kutupwa. Tena utakufa kifo cha fedheha mzog wa mbwa wewe usiye na ufahamu. Pumbavu kwelikwlei. Ungelikuwa akili japo kidogo usingeongea upumbavu ambao hata tu elimu ya darasani inatoa jibu. Pumbavu kafie mbali zoga la mijibwa!

tena achana na mimi siji kwenye upumbavu wako wa kishetani hapa. Elti walitumia kipimo gani!. Nenda hata shule ya kata uapte basi ili hata kama ni argument uargue scientifically japo kidogo. Jitu lilipelekwa shule likawa jinga darasani, likakimbia umande, Mungu halimjui linaishi kwa sababu linaamuka ili lile, halafu leo linaleta ma.vi ya kichwani kwake hapa. Wewe unafikirakwa kutumia m.a.vi. Wweni zaidiya mzoga wanguruwe.

Hahaaa...aisee Tabby kabadilika kabisa...unaweza ua mtu ujue...watu wa dini mnachuki sana aisee...I wonder sijui mtaenda pepo ipi if at all kama ina exist...

Wote wewe na hao waabudu Lucifer wote mpo kapu moja tu,wote wagomvi,mnaabudu vitu havipo
 
mkuu upo juu.. biblia ipo encoded, hata mimi naelewa hivyo. nimepata huo ufahamu kutoka kwa mwanasayansi anaitwa David Flynn, tunachokisoma ni zaidi ya upeo wa macho yetu, geometry imetembea mule mwanzo mwisho.

ila kutokana na hawa wafia dini kusoma kitabu jinsi kilivyo, inabidi twende nao sawa hivyo hivyo.
Waeleze hao, nilikuwa nakosa neno sahihi la kuwahita
 
Sayansi:
Sayansi ya leo imethibitisha kuwa Mtu wa kwanza (Adam) alikuwa na kimo cha dhiraa 60. Soma nukuu zifuatazo katika Sehemu moja ya Toleo la Septemba 2001 la Jarida Mashuhuri la Sayansi la Israil, Ha-Mada Ha-Yisraeli B’ Angleet V’lvreet.” Kisha soma maoni chini yake.
Tel Aviv, Israil
Katika Kongamano la hivi karibuni nchini Israil lililozungumzia sayansi na dini, Dkt. Shlomi Lesser wa Chuo Kikuu cha Hebrew, na Mwenyekiti wa Taasisi ya Hofesh V’ Mada, akiwakilisha wanasayansi wenye shaka na dini, aliongoza mdahalo mkali baina ya wanabaiolojia na Wanazuoni wa ki-Orthodox wa Kiyahudi juu ya mada “Mwanzo wa Maisha”.
Wengi walioshuhudia mdahalo huo wakiwemo wale wenye msimamo mkali wa kidini, wakaibuka na hisia kuwa wanazuoni wa Kiyahudi hawakufanya vizuri dhidi ya wapinzani wao wa mrengo wa “Epicurean”.
Mwangaza wa mchana ulichomoza pale Dkt Lesser aliposhiriki katika kuulizana maswali; moja baada ya jingine na Rabbi Dovid Brown wa Chuo Kikuu cha Yeshiva.
Katika nukta moja, Dkt. Brown alimuuliza Rabbi Brown, je, mtu wa kwanza alikuwa na kimo gani? Mwanazuoni wa Kiyahudi akajibu, “aghalabu alikuwa na kimo cha mwanadamu wa wastani kwa mujibu wa Wahenga wa Kiyahudi (chazal)
Dkt. Lesser, akirejea utafiti ulioshirikisha taasisi yake na taasisi nyingine, akasema, “njia pekee ya mwanadamu kuweza kuja kutokana na jozi moja ya wazazi (wazazi wawili-Adam na Hawa) ni iwapo tu kama wazazi hao wa mwanzo walikuwa ni majitu makubwa katika zama za kabla ya elimu ya lishe.”
Hesabu zake zilionesha kuwa ili jamii ya mwanadamu kuweza kufikia hali ya maumbile waliyokuwa nayo katika karne ya 17, Kisa cha Adam na Hawa kingelikuwa na maana iwapo tu mtu wa kwanza angelikuwa na kimo cha futi 90. Hakuna njia nyingine ambayo mwanadamu angeliweza kuvuka kikwazo cha kijenetikia.”
Aidha, Dkt. Lesser anasema, kama Adam angelikuwa na kimo cha mtu mwingine yoyote yule kama wanavyosema wanazuoni wa dini ya Kiyahudi, basi hii ingekifanya kisa cha Adam na Hawa kuwa upuuzi ulio dhahiri.”
Ni jambo la kuvutia kwamba wakati wanabaiolojia hao wakidhani kuwa wanaipondaponda dini ya Kiyahudi kumbe wanauthibitisha Uislamu! Wanasayansi waliibuka na utafiti wa kijenetikia ambao uliwapelekea kufanya hesabu za kimo ambacho mtu wa kwanza angekuwa nacho kama Kisa (cha Adam na Hawa) kilikuwa cha kweli.
Wakaibuka na futi 90. Zingatia kuwa miaka 1400 iliyopita kabla ya wasomi hawa hawajafikia hitimisho hilo, Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, alishazungumzia kitu hicho. Kimahesabu, dhiraa sitini ni sawa na Futi 90.

Hii story ya uongo ya miaka mingi bado upo nayo tu?

We will simply confirm a few of Jochen's conclusions:
  1. No such person as "Dr. Shlomi Lesser" exists; rather that name was pulled out of thin air.
  2. There is no such journal as Ha-Mada Ha-Yisraeli B'Angleet V'Ivreet; rather that is a figment of our imagination.
  3. There is no Hofesh V'Mada Society; rather that too was concocted in our heads.We will simply confirm a few of Jochen's conclusions:
    1. No such person as "Dr. Shlomi Lesser" exists; rather that name was pulled out of thin air.
    2. There is no such journal as Ha-Mada Ha-Yisraeli B'Angleet V'Ivreet; rather that is a figment of our imagination.
    3. There is no Hofesh V'Mada Society; rather that too was concocted in our heads.Profiles in Quackery II: Osama Abdallah
 
Kama mtu anaweza kuishi miaka 100 harafu biblia ikasema adamu na hawa waliishi miaka 900 inamaana hapo biblia imeonge uongo 800%
Ndiyo nauliza kama wazungu(waongo) wameweza kudanganya hivyo toka kipindi hicho hadi sasa basi tuwe makini nao hata kwenye mambo mengine maana wanaweza wakawa wanaendelea kuongopa.
 
Hadi uzi unafika pg ya 12, hakuna mfiadini aliyejitokeza kukanusha hii post ya Kiranga ama kuomba radhi kwa uongo ulioandikwa kwenye Bible....Hivi inawezekanaje mwaandishi mmoja kujicontradict mwenyewe tena baada ya sura 1 au 2?...wafia dini majibu tafadhali.

Hawa jamaa wamejitoa akili, wanajitia ujinga wa kutoona kilicho wazi kabisa.
 
Akili ndogo mnooo.
Kwanza elewa binadamu hakuumbiwa kufa ila dhambi zetu ndo zimetufikisha hapa.
Ukisoma vizuri utagundua kuwa umri wa kuishi uliendelea kupungua miaka ilivyoendelea toka kuumbwa kwa Adam mpaka pale Mungu alupoweka kikomo/wastani wa kuishi kwa mwanadamu.
Chunguza vizuri maandiko

Una uhakika gani ukomo wa umri sasa hivi ndio mwisho?Hujui kama unaweza endelea kushuka?Kwa akili yako unadhani umekwama?Eti mungu kaukwamisha..Duh

Huyo mungu wako anaebadilisha mawazo aisee ni wa ajabu sana...eti mwanzoni alimuumba ili asiende moto,mara ghafla akaghairi akamjengea moto,hizi bahatisha bahatisha ni ajabu.

Nyie ndio mnamshushia mungu wenu heshima,mna mshusha kama vile ni mwanadamu mwenzenu...mnampa tabia za kibinadamu za kibwege kweli...huwezi mdiscuss mungu kwa perspective ya kibinadamu,tayari ni madhaifu matupu...
 
Unapoficha ubongo mfukoni na kutumia sehemu ya kukalia ili ufikiri, lazima utapeliwe fikra.Yaani mambo yapo wazi kabisa na hovyo ila unaambiwa kuwa ni fumbo la imani? waache wadanganywe...wametaka wenyewe.
Huyo Mungu Mungu gani aweke mafumbo ya ajabu ya kukiondolea credibility kitabu chake?

Kwa nini aweke fumbo at all?

Kwani anaimba taarabu? Au anajifunza kutongoza?

Ridiculous.
 
In the name of KING LUCIFER AND HIS YOUNG BROTHER SATAN let this spell to perish.

Mods please futa comments zinazomkashifu mfalme wetu (KING LUCIFER) .kwani wamwabuduo Jesus wanapenda akashifiwe?
Aisee, yana mwisho wake haya we tamba tu kwenye mgongo wa ardhi ila ngoja uingie tumboni ndipo utaaelewa
 
Aliekuletea yesu anakwambia maskini ndo watauona ufalme wa mungu, halafu hapohapo anashusha thamani ya shilingi yako halafu anapandisha thamani ya Paundi na Dola yake.. nchi yake tajiri, yako maskini..

swali la kujiuliza ni "kama ufalme wa mungu ni wa watu maskini kwanini wao walioleta huo ujumbe wanauhangaikia sana utajiri? Wao wanainvest Afrika, waafrika wanainvest in heaven..

akili kumkichwa.
Hahahaha.......

Mkuu unanikumbusha ile verse ya kusamehe 7 x 70 kwenye agano jipya wakati agano la kale linatoa hukumu ya jicho kwa jicho, mkono kwa mkono.
 
Huyo Mungu Mungu gani aweke mafumbo ya ajabu ya kukiondolea credibility kitabu chake?

Kwa nini aweke fumbo at all?

Kwani anaimba taarabu? Au anajifunza kutongoza?

Ridiculous.
Mkuu si unajua kuna watu wenye tamaa za kudominate watu?

Sasa ninavyofikiri hao watu wazamani walitumia hallucinations zao kutiisha watu ili waweze kuwadominate.
Ona wanavyofanya wachungaji, kazi yao ni kutisha watu na kuwakamua fedha....Mbaya zaidi mawazo mfu waliyolishwa yalishajichimbia kwenye minds zao, so watu wanaona ni moja kati ya sheria za uhai.

Ndio maana hawakosoi hata kama kuna negatives, na wakisikia mtu anahoji au kukosoa humtisha kwa kifo.Kwani wao hawatakufa?...Yaani hata ukichambua hoja zao ni za kitoto mno na zinaashiria uvivu wa kufikiri.
 
aya zinapigana sana ,ipo inayosema huwezi kwenda mbinguni mpaka babake yesu akuvute,
tena nyingine yesu anasema kama jina lako halipo katika kitabu cha uzima kilichoandikwa hapo zamani za kale unapoteza mda huendi mbinguni ng'o,whatever mbinguni means.
Yaani usanii juu ya usanii
Hahahaha......

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
Af biblia hiyo hiyo inakwambia yesu alitumwa kwa wana israel


"Sikutumwa ila kwa kondoo aliye potea wa wana wa israel"


"Ewe bethelem katika majumbe ya Yuda hu mdogo kamwe katika majumbe ya Yuda kwa kuwa kwako atatoka mtawala atakae wachunga wana wangu wa israel"
 
Back
Top Bottom