wigo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 914
- 502
Actually ni fasihi simulizi, kwa maana hiyo ni fasihi simulizi za kiebrania( hebrew literature)Sijawahi kuamini stori za kwenye biblia, nazichukulia kama HADITHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually ni fasihi simulizi, kwa maana hiyo ni fasihi simulizi za kiebrania( hebrew literature)Sijawahi kuamini stori za kwenye biblia, nazichukulia kama HADITHI.
Usisahau pia kwamba nabii Adam alikua na kimo cha urefu wa futi 90!!!
Sasa ata hiyo miaka unayoishangaa ya umri wake si ajabu.
Pia historia inasema kwamba baada ya mungu kuwafukuza watatu hao kwenye bustani ya Eden na kutupwa duniani walikuja onana baada ya miaka 100-300yrs(nimesahau kidogo exactly time waliyokutana)
Futi 90????
Come on!
The Giants. Mijitu mikubwa. Kama wale nephelim katika kipindi cha nuhu.That's more than a super monster!!
Mungu akusamehe bure tu, endelea kutafiti ukweli kabla ya kutoa conclusion. je uljua kuwa utazaliwa? je wajua lini una expire? nipe hayo majibu. Then nikaumabia ilikuwaje adam aishi 900 yearsMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Ndio tupo kuwauliza nyinyi mnaojifanya mnaijua sana biblia na kila kitu chenyewe kipo kwenye biblia mnasema ndio hata kama uthibitisho haupo.Mungu akusamehe bure tu, endelea kutafiti ukweli kabla ya kutoa conclusion. je uljua kuwa utazaliwa? je wajua lini una expire? nipe hayo majibu. Then nikaumabia ilikuwaje adam aishi 900 years
Elewa kwanza lugha biblia ndipo utoe dukuduku zakoMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
labda walitumia carbon14 kwa kupima fuvu za kichwa za adam na hawa, maana wazungu nao kwa 'habari nyepesi nyepesi' hawajambo!!
yani kama washkaji flani hivi, story nyingi, anamwambia shetani ayubu ananipenda ila mchezee nione kama kweli ananipenda.. yani mungu anafanya binadamu kama matoi vile..Kitabu cha Ayubu (ayub 1,6 - 8)
kinaelezea mahusiano kati ya mungu na shetani,
pale ambapo mungu anapo mwuliza shetani, "umetoka wapi wewe?" nae shetani akamjibu "natoka kuzunguka huku na huko duniani".
Mungu akamwuliza Shetani "je umemwona huyo mtumishi wangu ayub, kwani hakuna kama yeye duniani, mwelekevu na mcha mungu.
Shetani akamjibu mungu" huyo ayubu humcha mungu bure?
Mimi special creation thery huwanaikataa kabisa.Miaka 6000 haiwezi kuruhusu Evolution speed ya haraka namna hiyo Mkuu.Ila wanasema eti saizi binadamu amepunguza miaka ya kuishi kutokana na mazingira.
Lakini ingekuwa ni kweli adamu na hawa waliishi miaka 900 saizi kutokana na mzingira ilitakiwa bindamu aishi angalau hata miaka 600.
Kwasababu ukipiga hesabu ktk mazingira haya haya tunayo ishi kuna viumbe vinaishi miaka mingi sana kwa mfano kobe nilisikia anauwezo wa kuishi hadi miaka 250.
Lakini kutoka miaka 900 hadi binadamu kuja kuishi miaka 100 na hapo wakati anabahati sana. lakini kawada ni 45 au 55 kwa tanzania.
Its OKNdio tupo kuwauliza nyinyi mnaojifanya mnaijua sana biblia na kila kitu chenyewe kipo kwenye biblia mnasema ndio hata kama uthibitisho haupo.
Mm najua biblia nikitabu cha propaganda.Its OK
sasa tuanze darasa, je wewe waelewa nini kuhusu biblia?
Fafanua vizuri mealezo yako mkuu ili nikupate vizuri.Haya ni mache ya katika yale mengi yaliyo tudanganya.
Ila kwenye biblia ndio kuna uongo mwingi kiufupi biblia inauongo 800%
Ku reverse muda ni concept inayoitwa time travel,.Akili yako na mimi na wewe ni maajabu ila kwa Mungu normal kabisa..!
Ukumbuke Mungu hana musa ndiyo maana hachelewi wala hawahi, TIME IS THE PRODUCT OF EVENT/ ACTION ila Mungu anao uwezo wa Ku reverse muda ukarudi nyuma so issu ya muda ni kwetu binad ndiyo maana huwa kuna quotations zinawachanganya laymen (waumini) kama nyie.
ok ,tupe sasa wewe hayo majibu ya maswali waliyouliza humu ndaniBiblia imejitosheleza. Ina majibu ya kila swali unalojiuliza. Hata sababu kwa nini maisha yalishushwa kutoka 900 hadi 120 na baada bibiblia inasema 70 utazidi ukiwa na Nguvu. Sababu zipo. Kwakuwa biblia ni neno la Mungu, yaani pumzi ya Mungu mwenyewe, ndo kitabu pekee ambacho kadiri unavyokisoma, kinakusoma wewe na kukuonyesha vile ulivyo. Hii ndio sababu walio wengi maneno haya yakishaanza kuwaonyesha vile walivyo wanasoma mstari mmoja wa pili wanakimbia wanaacha. Lakini ukitoa muda wa kuelewa Majibu ya kila swali ulonalo yamo ndani ya bibilia.
Kwanza ulitakiwa ujitambulishe kama wewe ni mkristu, muislamu au mpagani ingekuwa rahisi zaidi kujadili mada yako maana hili ni swala LA kiimani zaidi sio la kisayansiMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Muulize mwandishiEnzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?
at least sasa nimejua wapi wasimamia. JE propaganda ipi? kwa manufaa ya nani? na nai mwanzilishi?Mm najua biblia nikitabu cha propaganda.
Kama mtu anaweza kuishi miaka 100 harafu biblia ikasema adamu na hawa waliishi miaka 900 inamaana hapo biblia imeonge uongo 800%Fafanua vizuri mealezo yako mkuu ili nikupate vizuri.