wigo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 914
- 502
Inawezekana kabisa tunadanganywa hata kwenye mambo mengine mengi.Ikiwa wazungu ndiyo waliyobuni dini na kutunga kitabu chake ili kuwaongopea watu,hiyo dini pamoja na hicho kitabu(UONGO) ni vitu vilivyosambaa karibu dunia nzima hadi sasa.
Swali nalojiuliza hapa ikiwa hao waongo(wazungu) wameweza kufanikiwa kusambaza uongo dunia nzima na kwa muda mrefu hivyo je,haiwezekani ikawa waongo hawa(wazungu) wakawa wanaendelea kudanganya ulimwengu kwa staili na mbinu tofauti katika masuala mengine hivi sasa??