Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

hicho ni kitabu cha mwanzo katika biblia,mwandishi wanadai ni moses,japo si kweli,
moses hakuwepo kipindi cha adam.
Pia kitabu kinaeleza hadi moses alipokufa na kuzikwa wapi,lakini kumbuka mwandishi ni moses,sasa utajiuliza moses alikuwa akijua anazikwa wapi hadi akaandika in advance
wafia dini watakuja kukwambia alionyeshwa maono.
 
Ukiongelea vitabu vya dini ni kwamba walipewa mitume ambao walifundishwa na mungu kwahiyo binadamu hawajui dunia ilipoanzia ila mungu anafahamu kwa kwa yeye ndio aliyeiumba dunia
 
Lakini huyo hata miaka 200 hawezi kufikisha.
ni sawa na mtu uliembishia hawezi kukupiga, sasa amekupiga halafu we unasema "lakini yule pale huwezi kumpiga"

point ni kwamba umeweza kupigwa, hiyo ya kumpiga mtu mwingine haihusiani na kichapo ulichopata.
 
Binafsi nilipata kusoma biblia kwa undani kipindi nipo shule( seminary) siku moja nliuliza hilo swali pia, majibu niliyoyapata ni haya....biblia inaandika vile sio kweli mtu aliishi miaka mfano 900 ila hiyo miaka mia 9 inaonesha ukamilifu kwa jambo fulani, na ndio maana tunapoambiwa mfano: yesu akija wataokolewa watu 14440 hiyo ni hesabu ya waisrael ikiwa na maana sana, hivyo hivyo katika hiyo miaka ina onesha ukamilifu wa jambo fulani na sio kweli kwamba ni miaka 900 ya kuishi.....tuisome biblia na kuelewa maana ya namba zilizomo na maneno yako.
Sasa adam na hawa waliishi miaka mingapi?
 
Wala hao babu zako unaowasema hawako motoni maana siku ya hukumu haijafika bado.ila kwa kukusaidia uelewa kidogo no kwamba, kipindi hicho cha mababu walikuwa chini ya sheria hivyo watahukumiwa kulingana na matendo Yao maana utambuzi wa mema na mabaya ulikuwa ndani ya mioyo Yao.hata Kama hawakumjua Mungu lakin sasa hatuko chini ya sheria tena Bali chini ya Imani katika Kristo. Yesu ndio agano la mwisho kuelekea hukumu hakutakuwa na agano jingine tena Bali hukumu atakaporudi kwa Mara nyingine.
yesu alisema imani bila matendo ni kazi bure
 
Aliekuletea yesu anakwambia maskini ndo watauona ufalme wa mungu, halafu hapohapo anashusha thamani ya shilingi yako halafu anapandisha thamani ya Paundi na Dola yake.. nchi yake tajiri, yako maskini..

swali la kujiuliza ni "kama ufalme wa mungu ni wa watu maskini kwanini wao walioleta huo ujumbe wanauhangaikia sana utajiri? Wao wanainvest Afrika, waafrika wanainvest in heaven..

akili kumkichwa.
Walisha tudanganya sana. lakini cha ajabu kunawatu bado wanaendelea kuamini uongo.
 
Binafsi nilipata kusoma biblia kwa undani kipindi nipo shule( seminary) siku moja nliuliza hilo swali pia, majibu niliyoyapata ni haya....biblia inaandika vile sio kweli mtu aliishi miaka mfano 900 ila hiyo miaka mia 9 inaonesha ukamilifu kwa jambo fulani, na ndio maana tunapoambiwa mfano: yesu akija wataokolewa watu 14440 hiyo ni hesabu ya waisrael ikiwa na maana sana, hivyo hivyo katika hiyo miaka ina onesha ukamilifu wa jambo fulani na sio kweli kwamba ni miaka 900 ya kuishi.....tuisome biblia na kuelewa maana ya namba zilizomo na maneno yako.

mkuu upo juu.. biblia ipo encoded, hata mimi naelewa hivyo. nimepata huo ufahamu kutoka kwa mwanasayansi anaitwa David Flynn, tunachokisoma ni zaidi ya upeo wa macho yetu, geometry imetembea mule mwanzo mwisho.

ila kutokana na hawa wafia dini kusoma kitabu jinsi kilivyo, inabidi twende nao sawa hivyo hivyo.
 
KABLA HUJAELEWESHWA KICHWA CHA UJUMBE WAKO CHENYEWE NI KIASHIRIA KUWA UNA HAKI YA KUTOELEWA MAMBO MEPESI YA NAMNA HIYO. UTUBU ILI MUNGU AKUSAIDIE KUYAELEWA NA KUIELEWA BIBLIA KI UFASAHA. BILA HIVYO UNAKOELEKEA NI PABAYA SANA. WOTE WANAOIPINGA BIBLIA NI WAPINGA UKRISTO NA ADHABU YAKE NI JEHANAMU.
 
Usisahau pia kwamba nabii Adam alikua na kimo cha urefu wa futi 90!!!
Sasa ata hiyo miaka unayoishangaa ya umri wake si ajabu.
Pia historia inasema kwamba baada ya mungu kuwafukuza watatu hao kwenye bustani ya Eden na kutupwa duniani walikuja onana baada ya miaka 100-300yrs(nimesahau kidogo exactly time waliyokutana)
Mkuu huyo aliyeandika kimo cha futi 90 inabidi afunguliwe mashtaka hata kama alishakufa.Yaani Adam alikuwa na urefu wa mita 30 then miaka 6000 baadae wanawe wana mita 2 tu?...this is a real BULLSHIT.
 
Mkuu huyo aliyeandika kimo cha futi 90 inabidi afunguliwe mashtaka hata kama alishakufa.Yaani Adam alikuwa na urefu wa mita 30 then miaka 6000 baadae wanawe wana mita 2 tu?...this is a real BULLSHIT.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zambi inaenea duniani na mpaka kwenye vichwa vyetu haya maswali ni mbinu ya kishetani kabisa
Kwa hyo unataka uishi Kama nguruwe? Kama mngu amekpa uwezo wa kujitambua tofauti Na viumbe wengine,kwann usfkirie badala ya kuburuzwa Kama kuku..!!!
 
Back
Top Bottom