Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.
MWANZO 7:6
Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
* * * * * * * *
huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..
Hatari sana.
Narudia tena ....naona umestick kwa noah tu, ambayo ni hadithi, na ushahidi huna.. ila kwenye reality nimetaja watu wawili ambao wameishi miaka zaidi ya 120, na kuna memba ameongeza watatu anaemfahamu ameishi miaka 138.. unasemaje kuhusu hilo?
hamna nimekutajia watu ambao wameishi kupita ukomo alioweka mungu baada ya biblia kuandikwa.. kuna mzee ana miaka 145 na bado anaishi.. huyu nae tumzungumzieje? au ngekewa?Narudia tena ....
Maandiko yameandikwa baada ya matukio kutokea c wakati matukio yanatokea...
Ivyo vyote vilivyoko kwa Bible ni baada ya kutokea ndipo vikaandikwa
Kingine ni kwamba
Naona unajarib kulazimisha fikra zako kuhoanisha maisha ya BC na Sasa
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
ni katika wasiojua na wanataka kujua.. msaidie usiishie KUKURUPUKA kama naniliu...🙄Umepata tuhela umenunua ka smartphone ushaanza kuanika kutokujua kwako. ...hongera
Aliekuletea yesu anakwambia maskini ndo watauona ufalme wa mungu, halafu hapohapo anashusha thamani ya shilingi yako halafu anapandisha thamani ya Paundi na Dola yake.. nchi yake tajiri, yako maskini..
swali la kujiuliza ni "kama ufalme wa mungu ni wa watu maskini kwanini wao walioleta huo ujumbe wanauhangaikia sana utajiri? Wao wanainvest Afrika, waafrika wanainvest in heaven..
akili kumkichwa.
90Enzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?
kama ni umaskini wa dhambi mbona alimwambia yule tajiri kauze vitu vyako vyote kisha unifate? tajiri aliponung'unika yesu akasema ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia peponi..brillnoel
kaka ni umaskini unaozungumziwa hapo ni umaskini wa kutokutenda dhambi, umaskini wa dhambi
Asante bro,nawe pia.Hao watu wote uliyo nitajia wako katika hali gani? Na huyo MUUZA KUKU. .duh! Naona tuko anga ya tofauti. ..NAKUOMBA UNISAMEHE SANA KWA KUJARIBU KUKUELEWESHA....uwe na siku njema. .Bye-bye
aya zinapigana sana ,ipo inayosema huwezi kwenda mbinguni mpaka babake yesu akuvute,according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
Mkuu kwakweli umemkamata pabaya sana...yaani kutoka sura moja kwenda nyingine keshapoteza kumbukumbu? sasa nimeamini uongo haudumu milele.Uongo mwingine huu..
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.
MWANZO 7:6
Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
* * * * * * * *
huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..
Hatari sana.
hicho ni kitabu cha mwanzo katika biblia,mwandishi wanadai ni moses,japo si kweli,Kwasababu waliandika kwamba adam na hawa waliishi miaka 900 lakini hawajataja walikufaje na walizikwa sehemu gani.
Pamoja na yote hayo lakini kuishi miaka 900 ni uongo.Sijaona uongo wa biblia labda wewe ndio muongo, Bibi yangu amefariki juzi juzi tu akiwa na miaka 90 lakini mimi nikijitazama naona kama life span imepungua maana sioni dalili za kufika miaka 90, lakini embu jiulize sasa hivi wewe una umri gani? je utaweza kufikisha umri mhe.Mugabe? jinsi siku zinavyokwenda mbele life span ya binadamu inazidi kupungua, muangalie Rooney mchezaji wa Manchester United anamiaka 31 na anaonekana ni mtu umri umeshakwenda tayari je akifikisha miaka 60 si atakuwa mzee sana, embu fananisha umri wa Rooney na Roger Mila wa cameroon wakati akiwa na miaka 30 ya Rooney alionekana bado kijana sana lakini leo hii Rooney anaonekana mzee kiasi kwamba watu wengine wanamshauri asicheze tena Timu ya Taifa ajikite kwenye kilabu chake tu, jinsi tunavyozidi kuishi umri unazidi kupungua.