Hahahahaa....Bila shaka kuna baadhi ya sehemu za ubongo wako ambazo hazifanyi kazi.Hivi hujui kwamba kila kiumbe kilievolve kutoka stage flani kwenda hatua nyingine?...Viumbe vyote vilibadilika/vianabadilika kutokana na mazingira....je hapo kuna evolution ngapi?Yaani wewe ndio ulinifanya nibaki kinywa wazi eti kuna evolution mbili??????
Like serious????
Eti evolution ya apes na evolution ya man are you on you total senses?
kama huwezi kujibu maswali nenda ukavae pedi thread nzima inanuka damu [emoji4] [emoji4]Nimeshawadisqualify wote na nimeona napoteza muda wangu tu na viluilui najiaibisha kabisa kujadiliana na watu kama nyie huyo mwenzio ameleta mistari ya Bible hapo anasema ina mapungufu nimemjibu naona kama amejiona choo sababu amejiona mwenyewe ni namna gani alivyo na twisted mindset.
Wewe nawe ndio si lolote si chochote mmebaki tu kujambajamba hoja hamna ni kuongea tu pumba.
Hahahahaa....Bila shaka kuna baadhi ya sehemu za ubongo wako ambazo hazifanyi kazi.Hivi hujui kwamba kila kiumbe kilievolve kutoka stage flani kwenda hatua nyingine?...Viumbe vyote vilibadilika/vianabadilika kutokana na mazingira....je hapo kuna evolution ngapi?
Ya mwanadamu imefika ubungo na ya nyani imefika tegeta....Hakuna jibu zuri zaidi ya hilo kwa ka.ki.laza....nimekwambia ufunge mjadala ili ukajibu kwanza zile 101, na mimi nieleze evolution...lakini naona una nazi baada ya shingo...huelewi.Kwahiyo mwanadamu evolution yake imemfikisha wapi?
Na nyani evolution yake imemfikisha wapi?
Ya mwanadamu imefika ubungo na ya nyani imefika tegeta....Hakuna jibu zuri zaidi ya hilo kwa ka.ki.laza....nimekwambia ufunge mjadala ili ukajibu kwanza zile 101, na mimi nieleze evolution...lakini naona una nazi baada ya shingo...huelewi.
AHAHAHAHAHAHHAHAAAAAA....Uhuhuhuhuuuuuuuu...Teh teh teh teh....Mkuu sikuachi, nifidie mbavu zangu😀😀😀😀😀😀😀😀Huyu jamaa nilihisi ana hilo tatizo ila sikutaka kumsumbua hadi amalize MP yake.wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dawa ya KE anaye bleed ni kuoga siyo kutumia spray.
Hebu fafanua kidogo mkuu, kwamba mwaka unaohesabiwa kinyume nyume una siku ngapi?Miaka ilikuwa inahesabiwa kinyumenyume kwa wakati huo
punguza kuchekacheka, umekuta wanaume tunaongea mambo sensitive kabisa, usilete masihara..Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.
Mkuu huyu REDEEMER. Yupo vizuri sana kwenye kupoteza mwelekeo wa mada.Mimi nilimwita hapa ili ajibu ule uongo 101 wa bible alioleta Kiranga ila baada ya kuona hana pa kuchomoka ananzisha vurugu...Eti anadai atajibu yote vizuri,...mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba ni uongo sasa sijui yeye anataka kusema nini,...Mf. mwinjilist mmoja anasema Baba wa Joseph mume wa Mari ni Eli, wakati mwinjilist mwingine anasema Baba wa Joseph mume wa Maria ni Jacob, hapo lazima mwinjilist mmoja alisema uongo...sasa Huyu redeemer atatoa wapi majibu ya kuclear huo uongo? na je ni mwinjilist yupi ni mkweli na yupi ni mwongo? je kama mwandishi mmoja kasema uongo kwenye bible, huoni kwamba kuna sehemu za bible ni uongo?mjadala umepoteza mwelekeo. turudi kwenye mstari.
kama una hoja ilete sio majisifu yasiyo na tija..
TOO MUCH EGO WILL KILL YOUR TALENT.
hilo swali hata ukipewa jibu halimsaidii yule mkristo anaejiuliza ngozi nyeusi tumetoka wapi kama waliumbwa adam na eva ambao sio asili ya mtu mweusi. ndo mana nakwambia usitoke nje ya mada.. kama umeshindwa kuendana na huu mjadala kaa kimya.Anyone with answer please step forward.
Why do we not see humans being born in the zoos from monkeys if we came from monkeys?
Mbona hatuoni wanadamu wakizaliwa kwenye zoo au porini na nyani kama mwanadamu ametokana na nyani?
Shut up kama ni mweupe kwenye vitu usivyovijua unaandika pumba tu here am talking to you the two of us huyo mwingine wa ngozi nyeusi ndio aliyekuuliza swali?hilo swali hata ukipewa jibu halimsaidii yule mkristo anaejiuliza ngozi nyeusi tumetoka wapi kama waliumbwa adam na eva ambao sio asili ya mtu mweusi. ndo mana nakwambia usitoke nje ya mada.. kama umeshindwa kuendana na huu mjadala kaa kimya.
you're missing the whole point.. jibu unalotaka halihusiani na mada iliyopo, some christians are watching this and they're demanding some answers from you, and here you are, talking about apes!!!Shut up kama ni mweupe kwenye vitu usivyovijua unaandika pumba tu here am talking to you the two of us huyo mwingine wa ngozi nyeusi ndio aliyekuuliza swali?
Me hata sijui kwanini jf wanaita hili jukwaa la intelligence ni ubatili mtupu most of people here disgrace the word intelligence here.