Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Yaani wewe ndio ulinifanya nibaki kinywa wazi eti kuna evolution mbili??????
Like serious????
Eti evolution ya apes na evolution ya man are you on you total senses?
Hahahahaa....Bila shaka kuna baadhi ya sehemu za ubongo wako ambazo hazifanyi kazi.Hivi hujui kwamba kila kiumbe kilievolve kutoka stage flani kwenda hatua nyingine?...Viumbe vyote vilibadilika/vianabadilika kutokana na mazingira....je hapo kuna evolution ngapi?
 
Nimeshawadisqualify wote na nimeona napoteza muda wangu tu na viluilui najiaibisha kabisa kujadiliana na watu kama nyie huyo mwenzio ameleta mistari ya Bible hapo anasema ina mapungufu nimemjibu naona kama amejiona choo sababu amejiona mwenyewe ni namna gani alivyo na twisted mindset.

Wewe nawe ndio si lolote si chochote mmebaki tu kujambajamba hoja hamna ni kuongea tu pumba.
kama huwezi kujibu maswali nenda ukavae pedi thread nzima inanuka damu [emoji4] [emoji4]
 
Hahahahaa....Bila shaka kuna baadhi ya sehemu za ubongo wako ambazo hazifanyi kazi.Hivi hujui kwamba kila kiumbe kilievolve kutoka stage flani kwenda hatua nyingine?...Viumbe vyote vilibadilika/vianabadilika kutokana na mazingira....je hapo kuna evolution ngapi?

Kwahiyo mwanadamu evolution yake imemfikisha wapi?
Na nyani evolution yake imemfikisha wapi?
 
wewe huwezi kumletea dharau mwanaume ata siku moja sisi ndio tunaotoboa izo papuchi na kuweka tobo, au yako ulitoboa na kidole? [emoji36] [emoji36]
 
Kwahiyo mwanadamu evolution yake imemfikisha wapi?
Na nyani evolution yake imemfikisha wapi?
Ya mwanadamu imefika ubungo na ya nyani imefika tegeta....Hakuna jibu zuri zaidi ya hilo kwa ka.ki.laza....nimekwambia ufunge mjadala ili ukajibu kwanza zile 101, na mimi nieleze evolution...lakini naona una nazi baada ya shingo...huelewi.
 
images
 
wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AHAHAHAHAHAHHAHAAAAAA....Uhuhuhuhuuuuuuuu...Teh teh teh teh....Mkuu sikuachi, nifidie mbavu zangu😀😀😀😀😀😀😀😀Huyu jamaa nilihisi ana hilo tatizo ila sikutaka kumsumbua hadi amalize MP yake.
 
Mi simo kwenye mjadala wenu...Mungu sio Masanja kusema mtajua mambo yake .....uwezo wake na mambo yake huwezi kuvitambua kwa akili ya kiubinadamu..
 
images

You are proper losers and from you great to expect is none other than some fats. 😛😛
 
Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?

Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.

Kwa mara ya tatu.

Naona wote wananikwepa wakiniona kama kituo cha police they get running like Usain Bolt hahahaaaaa 😛😛😀
 
mjadala umepoteza mwelekeo. turudi kwenye mstari.

kama una hoja ilete sio majisifu yasiyo na tija..

TOO MUCH EGO WILL KILL YOUR TALENT.
 
Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.
punguza kuchekacheka, umekuta wanaume tunaongea mambo sensitive kabisa, usilete masihara..

wewe kama mtetezi wa huyo myahudi inabidi ujibu maswali ya watu wanaomkosoa sio wewe uje na maswali yako.. narudia tena, mtetee myahudi wako, hio imani ya atheism haihusiani na huu mjadala, hapa tunazungumzia uongo au makosa ya kwenye hiko kitabu cha myahudi..

sio kila ambae anacriticize BIBLIA ni atheist, wengine wanamuamini huyo myahudi ila kila wakisoma biblia, some things dont add up.. sasa huko kanisani hawatakiwi kuhoji so wanakuja kutoa ya moyoni JF.

BE SERIOUS, kuwa mtu mzima kidogo, ujana weka pembeni.
 
Anyone with answer please step forward.

Why do we not see humans being born in the zoos from monkeys if we came from monkeys?

Mbona hatuoni wanadamu wakizaliwa kwenye zoo au porini na nyani kama mwanadamu ametokana na nyani?
 
mjadala umepoteza mwelekeo. turudi kwenye mstari.

kama una hoja ilete sio majisifu yasiyo na tija..

TOO MUCH EGO WILL KILL YOUR TALENT.
Mkuu huyu REDEEMER. Yupo vizuri sana kwenye kupoteza mwelekeo wa mada.Mimi nilimwita hapa ili ajibu ule uongo 101 wa bible alioleta Kiranga ila baada ya kuona hana pa kuchomoka ananzisha vurugu...Eti anadai atajibu yote vizuri,...mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba ni uongo sasa sijui yeye anataka kusema nini,...Mf. mwinjilist mmoja anasema Baba wa Joseph mume wa Mari ni Eli, wakati mwinjilist mwingine anasema Baba wa Joseph mume wa Maria ni Jacob, hapo lazima mwinjilist mmoja alisema uongo...sasa Huyu redeemer atatoa wapi majibu ya kuclear huo uongo? na je ni mwinjilist yupi ni mkweli na yupi ni mwongo? je kama mwandishi mmoja kasema uongo kwenye bible, huoni kwamba kuna sehemu za bible ni uongo?
 
Anyone with answer please step forward.

Why do we not see humans being born in the zoos from monkeys if we came from monkeys?

Mbona hatuoni wanadamu wakizaliwa kwenye zoo au porini na nyani kama mwanadamu ametokana na nyani?
hilo swali hata ukipewa jibu halimsaidii yule mkristo anaejiuliza ngozi nyeusi tumetoka wapi kama waliumbwa adam na eva ambao sio asili ya mtu mweusi. ndo mana nakwambia usitoke nje ya mada.. kama umeshindwa kuendana na huu mjadala kaa kimya.
 
Bado nazidi kuona utupu wenu kwenye mambo msiyoyajua anyway let me put right at least.

Mathayo 1

1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.

2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;

3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;

4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;

5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;

6 Yese akamzaa mfalme Daudi.

7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;

8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;

9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;

10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;

11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.

12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;

13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eli-akimu; Eli-akimu akamzaa Azori;

14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eli-udi;

15 Eli-udi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;

16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Kwanza ujue jinsi wayahudi wanavyopeana majina ukuangalia hapo bolded nimeweka Eli hilo ni jina kamili hata kabla hujaongeza hudi au akimu hivyo enzi hizo na hata saivi mtu anaweza kuitwa let's say Michael lakini pia akitwa Mike au Elisifa lakini akaitwa Eli au Elly that's normal that's perfect.

Pili mtu anaweza kuwa na majina hata nane au saba au matano yanayoambatana la kwake la baba yake la baba mzaa baba yake la baba mzaa babu yake mpaka la ukoo ameyaunganisha pamoja kama majina yake.

Mfano mtu anaweza kuitwa Michael Jonathan Reuben Abraham Naton.

Huyu mtu anaweza pia kuitwa kwa kifupi Michael Naton au Michael Jonathan Naton au hata Michael Abraham it's normal it's accurate it's also very perfect.

Okay nipeni hoja yenu kuna ajabu gani Joseph au Yusufu kutumia jina la Jacob au Yakobo kama baba yake au Eli-azari au Eliazari au Hakimu kama baba yake?

Au Yesu kutumia Eli au Jacob mbona pia ametupia Mwana wa Adam au Simba wa Yuda isiwe tabu?

Am watching.
 
hilo swali hata ukipewa jibu halimsaidii yule mkristo anaejiuliza ngozi nyeusi tumetoka wapi kama waliumbwa adam na eva ambao sio asili ya mtu mweusi. ndo mana nakwambia usitoke nje ya mada.. kama umeshindwa kuendana na huu mjadala kaa kimya.
Shut up kama ni mweupe kwenye vitu usivyovijua unaandika pumba tu here am talking to you the two of us huyo mwingine wa ngozi nyeusi ndio aliyekuuliza swali?

Me hata sijui kwanini jf wanaita hili jukwaa la intelligence ni ubatili mtupu most of people here disgrace the word intelligence here.
 
you're missing the whole point.. jibu unalotaka halihusiani na mada iliyopo, some christians are watching this and they're demanding some answers from you, and here you are, talking about apes!!!
 
Back
Top Bottom