Jibu contradictions zote hiziBible haijakosewa ipo accurate 100% am going to answer each question of the thread so easy and prove the threader wrong.
I am going to start a fresh thread for the answers stay tuned.
Mathayo 1:13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eli-akimu; Eli-akimu akamzaa Azori;Luka alisema Yusufu alikuwa mwana wa ELI(hakumtaja Yakobo)...Mathayo akasema Yosefu alikuwa mwana wa Yakobo,(hakumtaja Eli)...sasa wewe unasema Yusufu alikuwa mtoto wa nani?
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.
MWANZO 7:6
Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
* * * * * * * *
huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..
Hatari sana.
Je Eli ni jina au kitangulizi cha jina?...unaweza kusema ELI-Yakobo?Mathayo 1:13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eli-akimu; Eli-akimu akamzaa Azori;
14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu;Akimu akamzaa Eli-udi;
15 Eli-udi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaaYakobo;
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Kwanza ujue jinsi wayahudi wanavyopeana majina ukuangalia hapo bolded nimeweka Eli hilo ni jina kamili hata kabla hujaongeza hudi au akimu hivyo enzi hizo na hata saivi mtu anaweza kuitwa let's say Michael lakini pia akitwa Mike au Elisifa lakini akaitwa Eli au Elly that's normal that's perfect.
Pili mtu anaweza kuwa na majina hata nane au saba au matano yanayoambatana la kwake la baba yake la baba mzaa baba yake la baba mzaa babu yake mpaka la ukooameyaunganisha pamoja kama majina yake.
Mfano mtu anaweza kuitwa Michael Jonathan Reuben Abraham Naton.
Huyu mtu anaweza pia kuitwa kwa kifupi Michael Naton au Michael Jonathan Naton au hata Michael Abraham it's normal it's accurate it's also very perfect.
Okay nipeni hoja yenu kuna ajabu gani Joseph au Yusufu kutumia jina la Jacob au Yakobo kama baba yake au Eli-azari au Eliazari au Hakimu kama baba yake?
Au Yesu kutumia Eli au Jacob mbona pia ametupia Mwana wa Adam au Simba wa Yuda isiwe tabu?
Am watching.
tena ufumbe mdomo wako kwa jina la Yesu amri ya kumuita mwanadamu mwenzio kafiri unatoa wapi toa kwanza kibanzi kilichopo kwenye jicho lako ndio uone boriti iliyoko kwenye jicho la mwenzio.Naona makafiri mnafarakana, hebu ngoja tuwaache bana
Traditionally, Jewish status passes through the mother, not the father.. so kwenye biblia kuandika ukoo wa yesu kristo halafu wanaweka vizazi vya yusufu ni upotoshaji. yesu aliitwa myahudi kutokana na kulizaliwa na mariamu na sio yusufu, na usiseme yusufu ni baba wa yesu kwa sababu hajamzaa, sio mbegu yake ile. upo?Wewe unatafsiri vipi bloodline?
Hiyo niliyokuambia ndio Jewish tradition hata leo sio enzi za Yesu tu yaani unaridhi uyahudi kwa pande zote kwa baba au kwa mama nenda kajifunze ujue Jewish inheritance ndio uje uongee na mimi hapa sababu huna hata unalolijua kuhusu Jewish bloodline.
Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?
Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.
Kwa mara ya pili.
Hapo wapo Eli wawili yupo Eli-Hakim na yupo Eli-Hudi chagua kati ya hao nani babu yake Joseph.Je Eli ni jina au kitangulizi cha jina?...unaweza kusema ELI-Yakobo?
Traditionally, Jewish status passes through the mother, not the father.. so kwenye biblia kuandika ukoo wa yesu kristo halafu wanaweka vizazi vya yusufu ni upotoshaji. yesu aliitwa myahudi kutokana na kulizaliwa na mariamu na sio yusufu, na usiseme yusufu ni baba wa yesu kwa sababu hajamzaa, sio mbegu yake ile. upo?
Mathayo 1:13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eli-akimu; Eli-akimu akamzaa Azori;
14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu;Akimu akamzaa Eli-udi;
15 Eli-udi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaaYakobo;
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Kwanza ujue jinsi wayahudi wanavyopeana majina ukuangalia hapo bolded nimeweka Eli hilo ni jina kamili hata kabla hujaongeza hudi au akimu hivyo enzi hizo na hata saivi mtu anaweza kuitwa let's say Michael lakini pia akitwa Mike au Elisifa lakini akaitwa Eli au Elly that's normal that's perfect.
Pili mtu anaweza kuwa na majina hata nane au saba au matano yanayoambatana la kwake la baba yake la baba mzaa baba yake la baba mzaa babu yake mpaka la ukooameyaunganisha pamoja kama majina yake.
Mfano mtu anaweza kuitwa Michael Jonathan Reuben Abraham Naton.
Huyu mtu anaweza pia kuitwa kwa kifupi Michael Naton au Michael Jonathan Naton au hata Michael Abraham it's normal it's accurate it's also very perfect.
Okay nipeni hoja yenu kuna ajabu gani Joseph au Yusufu kutumia jina la Jacob au Yakobo kama baba yake au Eli-azari au Eliazari au Hakimu kama baba yake?
Au Yesu kutumia Eli au Jacob mbona pia ametupia Mwana wa Adam au Simba wa Yuda isiwe tabu?
Am watching.
alafu huna point kabisa maswali ya kitoto lakini anauliza mtu mzima na akili zake jamani shetani achia akili za wana wa Mungu kwa jina la Yesu unajua unapotaka kujua kitu kaa utulie ili watu wakueleweshe sio wataka kujua na bado unakazana kuwa mwalimu tena khaaaaaaa.kwa hio wewe utakua unasali kibubu bubu nyumbani? na wakati wa kuoa utakubali kuozeshwa na mchungaji shoga au utajiozesha mwenyewe?
Wewe unatafsiri vipi bloodline?Traditionally, Jewish status passes through the mother, not the father.. so kwenye biblia kuandika ukoo wa yesu kristo halafu wanaweka vizazi vya yusufu ni upotoshaji. yesu aliitwa myahudi kutokana na kulizaliwa na mariamu na sio yusufu, na usiseme yusufu ni baba wa yesu kwa sababu hajamzaa, sio mbegu yake ile. upo?
Lakini hakuna sehemu bibilia imesema hivyo, wewe ndiye unayesema hayo....sasa mkweli wa kuaminiwa ni wewe au bibilia?Hapo wapo Eli wawili yupo Eli-Hakim na yupo Eli-Hudi chagua kati ya hao nani babu yake Joseph.
Naweza kuwa na majina Johnson Patrick Michael.
Naweza kujiita Johnson Patrick au Johnson Michael pote nipo sawa.
Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?
Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.
Kwa mara ya pili.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?alafu huna point kabisa maswali ya kitoto lakini anauliza mtu mzima na akili zake jamani shetani achia akili za wana wa Mungu kwa jina la Yesu unajua unapotaka kujua kitu kaa utulie ili watu wakueleweshe sio wataka kujua na bado unakazana kuwa mwalimu tena khaaaaaaa.
Nifuatilie humu JF naelewa mambo mengi sana sio mambo ya dini tu nina exposure in many angles na nimetembelea nchi nyingi duniani.Mkuu ungekua unajua koo za Kitanzania namna hii,tungefika mbali...
Ila unajifunza kwa nguvu zote about the people who do not acknowledge even your existance...
Na hao wote niliowaandika hawapo duniani only Jesus ulitaka wani acknowledge in which sense?Mkuu ungekua unajua koo za Kitanzania namna hii,tungefika mbali...
Ila unajifunza kwa nguvu zote about the people who do not acknowledge even your existance...
hahahahhaahha!!! tena pasipo na shaka yeyote ile.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?