Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakina Eli nimewaandika mimi?Lakini hakuna sehemu bibilia imesema hivyo, wewe ndiye unayesema hayo....sasa mkweli wa kuaminiwa ni wewe au bibilia?
Nipe sehemu nimeandika Yesu ni mwana wa Yusufu?traditionally huwezi kuwa myahudi kama mama sio myahudi, and thats tradition, you cant change that.. uwe muelewa.. naona unabez sana kwa upande wa baba, as if yesu alikua mtoto wa yusufu... hata matayo 1:16 haijamtambua yesu kama mtoto wa yusufu ila mtoto wa mariamu
matayo 1:16
yakobo akamzaa yusufu, mumewe mariamu aliyemzaa yesu aitwaye kristo.
hakuna sehemu inayosema yesu mwana wa yusufu, hata biblia imekimbia hio lawama.. utakwenda motoni bure.
Thibitisha.hahahahhaahha!!! tena pasipo na shaka yeyote ile.
thats the point.. he was not Joseph's son. so this whole thing is bullshit.. you can never claim something which is not yours.Nipe sehemu nimeandika Yesu ni mwana wa Yusufu?
Me mwenyewe ndio nimepinga Yesu hana biological father now unaniletea sijui maneno umeyatoa wapi?
Aise kuongea na nyie ni tabu sana una elemu gani by the way??
Who claims what?thats the point.. he was not Joseph's son. so this whole thing is bullshit.. you can never claim something which is not yours.
Mbona unawapa maana?...BTW rudia kusoma zile 101 kwa utulivu bila ya kuwa na mtizamo wa kujibu hoja...yaani zisome kwa nia ya kuelewa alafu ukishaelewa ulete majibu.Hao wakina Eli nimewaandika mimi?
Who claims what?
And where in the Bible Jesus mentioned as son of Joseph?
Hizo hoja me kwangu wala hazinipi headache ndio kama hii wala hazina tofauti hii niliyoipangua hapa?Mbona unawapa maana?...BTW rudia kusoma zile 101 kwa utulivu bila ya kuwa na mtizamo wa kujibu hoja...yaani zisome kwa nia ya kuelewa alafu ukishaelewa ulete majibu.
All cheap craaap i can't even bother eti mbegu ni za kiume sperm hahahhahaaaa?he claims he is the offspring of David.. how? this whole thing is a contradiction..
Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.
UFUNUO. 22:16
hapa anakanusha..
Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe?
MT. 22:45
Of this man's seed hath God according to his promise raised unto Israel a Saviour, Jesus. WOTE TUNAELEWA SEED MANAKE NI NINI.. NI MBEGU ZA KIUME
MATENDO 13:23
2 Timothy 2:8
Remember that Jesus Christ of the seed of David was raised from the dead according to my gospel.
Romans 1:3
Concerning his Son Jesus Christ our Lord, which was made of the seed of David according to the flesh.
Soma kwa utulivu.
jibu hizo hoja sio unachekacheka, thread za kuchekacheka zipo kwenye forum ya mapenzi.All cheap craaap i can't even bother eti mbegu ni za kiume sperm hahahhahaaaa?
Vilaaaza HD.
Sasa na wewe umezunguka google yooote na websites zote kutafuta contradictions za Bible ndio ukaambulia hizo pumba?jibu hizo hoja sio unachekacheka, thread za kuchekacheka zipo kwenye forum ya mapenzi.
zijibu hizo pumba, usitoke nje ya mada.Sasa na wewe umezunguka google yooote na websites zote kutafuta contradictions za Bible ndio ukaambulia hizo pumba?
uumbaji tu wenyewe unatosha kumthibitisha Mungu uwepo wangu pia watosha kumthibitisha Mungu soma mwanzo 1:1 nakuendelea ndio uthibitisho na mengi aliyotenda kwangu pia yanathitisha hivyoThibitisha.
Thibitisha Mungu ndiye aliyefanya uumbaji.uumbaji tu wenyewe unatosha kumthibitisha Mungu uwepo wangu pia watosha kumthibitisha Mungu soma mwanzo 1:1 nakuendelea ndio uthibitisho na mengi aliyotenda kwangu pia yanathitisha hivyo