Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Mmoja wenu kashanielewa hapo kenye Jewish bloodline sema tu kusema asante nashukuru sikua naelewa awali ila leo umenielewesha inakua tabu.

Thank you Jesus at least some one understood something.
 
akiri ya Mwanadamu si sawa na mawazo ya Mungu,, wandishi wa hivi vitabu ni MItume tu lkn ufunuo kutoka kwa Mungu uliandikwa kupitia kwao
 
traditionally huwezi kuwa myahudi kama mama sio myahudi, and thats tradition, you cant change that.. uwe muelewa.. naona unabez sana kwa upande wa baba, as if yesu alikua mtoto wa yusufu... hata matayo 1:16 haijamtambua yesu kama mtoto wa yusufu ila mtoto wa mariamu

matayo 1:16

yakobo akamzaa yusufu, mumewe mariamu aliyemzaa yesu aitwaye kristo.

hakuna sehemu inayosema yesu mwana wa yusufu, hata biblia imekimbia hio lawama.. utakwenda motoni bure.
Nipe sehemu nimeandika Yesu ni mwana wa Yusufu?
Me mwenyewe ndio nimepinga Yesu hana biological father now unaniletea sijui maneno umeyatoa wapi?

Aise kuongea na nyie ni tabu sana una elemu gani by the way??
 
thats the point.. he was not Joseph's son. so this whole thing is bullshit.. you can never claim something which is not yours.
 
thats the point.. he was not Joseph's son. so this whole thing is bullshit.. you can never claim something which is not yours.
Who claims what?
And where in the Bible Jesus mentioned as son of Joseph?
 
All have runed from me.
web-dip01nw1.JPG
😎😀
 
Hao wakina Eli nimewaandika mimi?
Mbona unawapa maana?...BTW rudia kusoma zile 101 kwa utulivu bila ya kuwa na mtizamo wa kujibu hoja...yaani zisome kwa nia ya kuelewa alafu ukishaelewa ulete majibu.
 
Who claims what?
And where in the Bible Jesus mentioned as son of Joseph?

he claims he is the offspring of David.. how? this whole thing is a contradiction..

Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.
UFUNUO. 22:16

hapa anakanusha..

Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe?
MT. 22:45

Of this man's seed hath God according to his promise raised unto Israel a Saviour, Jesus. WOTE TUNAELEWA SEED MANAKE NI NINI.. NI MBEGU ZA KIUME
MATENDO 13:23

2 Timothy 2:8
Remember that Jesus Christ of the seed of David was raised from the dead according to my gospel.

Romans 1:3
Concerning his Son Jesus Christ our Lord, which was made of the seed of David according to the flesh.

Soma kwa utulivu.
 
Mbona unawapa maana?...BTW rudia kusoma zile 101 kwa utulivu bila ya kuwa na mtizamo wa kujibu hoja...yaani zisome kwa nia ya kuelewa alafu ukishaelewa ulete majibu.
Hizo hoja me kwangu wala hazinipi headache ndio kama hii wala hazina tofauti hii niliyoipangua hapa?

Eti nawapa maana wakati Eli wapo wazi na kimantiki inamake sense.
 
he claims he is the offspring of David.. how? this whole thing is a contradiction..

Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.
UFUNUO. 22:16

hapa anakanusha..

Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe?
MT. 22:45

Of this man's seed hath God according to his promise raised unto Israel a Saviour, Jesus. WOTE TUNAELEWA SEED MANAKE NI NINI.. NI MBEGU ZA KIUME
MATENDO 13:23

2 Timothy 2:8
Remember that Jesus Christ of the seed of David was raised from the dead according to my gospel.

Romans 1:3
Concerning his Son Jesus Christ our Lord, which was made of the seed of David according to the flesh.

Soma kwa utulivu.
All cheap craaap i can't even bother eti mbegu ni za kiume sperm hahahhahaaaa?

Vilaaaza HD.
 
I am not even your type tafuteni mnaolongana IQ ndio muargue nao.

And the point is very clear.

Mungu ahitaji mtu wa kumtetea hata siku moja mimi kumuamini Mungu hakuchangii chochote yeye kuwepo na wewe kutomuamini hakuchangii chochote kwa yeye kutokuwepo.

Utakpinga utaondoka atakuja mwingine atapinga ataondoka. Lakini wakati wote Mungu yupo palepale na mauti hautaiepuka na hesabu yako utaitoa that day.

That ain't change absolutely nothing God is independent does not need you to prove His existence He is the automatically so wewe payukaa weeee furama weeee tapika weeee lakini Mungu utamkuta hiyo siku anakusubiri kww hamu.

Tubu/Repent God is Mercyfull.
 
jibu hizo hoja sio unachekacheka, thread za kuchekacheka zipo kwenye forum ya mapenzi.
Sasa na wewe umezunguka google yooote na websites zote kutafuta contradictions za Bible ndio ukaambulia hizo pumba?
 
Thibitisha.
uumbaji tu wenyewe unatosha kumthibitisha Mungu uwepo wangu pia watosha kumthibitisha Mungu soma mwanzo 1:1 nakuendelea ndio uthibitisho na mengi aliyotenda kwangu pia yanathitisha hivyo
 
Facts

Ukristo ndio dini inayoongoza kwa kukua saivi ulimwenguni kote.

Bible ndio kitabu kilichosomwa na kilichouzwa zaidi ulimwenguni.

Bible ndio kitabu kinachoongoza kwa kuuzwa zaidi ulimwenguni.

Bible ndio kitabu kilichotafsiriwa kwa karibu lugha zote mpaka za kikabila ulimwenguni.

Msalaba ndio nembo inayoonga kwa kutambuliwa na watu wengi ulimwenguni kuliko nembo au alama nyingine yoyote.

Atheists ndio wanaoongoza kutaja neno Mungu kuliko congregation yoyote ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom