blaza ipo hivi.. mzungu aliua misingi yetu ya kiiamini na kutufanya tuamini dini yao.. sasa kadri mwafrika akavyozidi kuichimbua imani aliyopandikizwa, anagundua kuna makosa, uongo na hadithi ambazo hazileti maana, so mwafrika amekua mtu wa kutafuta kitu angalau kinachoshabihiana na ukweli, PEOPLE WHO LISTEN TO BOTH SIDES OF THE STORY, THE TRUTH IS ALWAYS REVELAED TO THEM..
ni ukweli usiopingika biblia ina mambo ambayo hayaleti maana. Kwa mfano mstari huu Revelation 20:7-8 "Now when the thousand years have expired, Satan will be released from prison, And will go out to deceive nations which are in the corners of the earth"
wewe kwa akili zako timamu unaona huu mstari unaleta maana? sasa manake nini mungu kumfungulia shetani kwa makusudi ili aende kuwadanganya watu? hao watu watakaoingia dhambini atawalaumu au atamlaumu shetani?
akiwalaumu watu kwa kuingia dhambini na watu wakimuuliza kwanini ulimfungulia shetani, mungu atajibuje? na mungu akimhukumu shetani kwa kuwatia watu dhambini na shetani akimwambia si ulinifungulia mwenyewe, mungu atajibuje?
YOU CAN FOOL PEOPLE SOME TIME, BUT YOU CANNOT FOOL PEOPLE ALL THE TIME.