Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Nampenda huyu Great Thinker REDEEMER. Sababu habishani Bali anatoa mchango ametulia kwenye hoja na anatoa facts kama nafananishwa nae basi swadakta what a treasure to look like Greater Thinker!!!

Asante.
Mkuu Una Nyota ya Kimombasa.... kuwa makini... Mwambie akutumie Picha yake ukiwa unataka kulala unaitizama kwanza...
 
Mkuu Una Nyota ya Kimombasa.... kuwa makini... Mwambie akutumie Picha yake ukiwa unataka kulala unaitizama kwanza...
Hapana ndugu labda kama mnachukulia haya mambo serious lakini Mimi naona in mambo ya kawaida sana kupingwa imani haijaanza karne hii walikuepo na wanaondoka wanaiacha.tu inaendelea na wanazaliwa wengine wanaipinga wengine wanaiamini.

Usichukulie haya mambo seriously you won't enjoy oxygen if your choice atheism make the most of it and believers also should make the most of believing ndivyi Bible yasema.

Wenye dhambi zidini kutenda dhambi na watakatifu zidini kuwa watakatifu it's all about freedom.

Asante.
 
Wenye dhambi zidini kutenda dhambi na watakatifu zidini kuwa watakatifu it's all about freedom.

Asante.
tukienda kwa nadharia ya kimungumungu, kwa ufahamu wako, unaamini watakaoenda mbinguni ni wakristo pekee?
 
1473697900319.jpg
 
tukienda kwa nadharia ya kimungumungu, kwa ufahamu wako, unaamini watakaoenda mbinguni ni wakristo pekee?
Ndugu nafikiri majibu mazuri yapo kwenye Biblia sababu mule yameandikwa yote anapashwa kuyafuata anayetaka kwenda mbinguni pamoja na zile ten commandments hivyo inaniwia vigumu kwa mimi kuyasema mojamoja sababu Biblia imeyaandika yote kwa kina.

Asante.
 
Ndugu nafikiri majibu mazuri yapo kwenye Biblia sababu mule yameandikwa yote anashwa kuyafuata anayetaka kwenda mbinguni pamoja na zile ten commandments hivyo inaniwia vigumu kwa mimi kuyasema mojamoja sababu Biblia imeyaandika yote kwa kina.

Asante.
mmekua mkilalamika kwamba sisi hatuijui biblia, sasa huoni budi kunifundisha? unaacha kondoo wa bwana apotee hivi hivi? nifundishe mkuu nielewe labda nimekengeuka.
 
mmekua mkilalamika kwamba sisi hatuijui biblia, sasa huoni budi kunifundisha? unaacha kondoo wa bwana apotee hivi hivi? nifundishe mkuu nielewe labda nimekengeuka.
Ndugu yangu umenichekesha sana.
 
Hapana ndugu labda kama mnachukulia haya mambo serious lakini Mimi naona in mambo ya kawaida sana kupingwa imani haijaanza karne hii walikuepo na wanaondoka wanaiacha.tu inaendelea na wanazaliwa wengine wanaipinga wengine wanaiamini.

Usichukulie haya mambo seriously you won't enjoy oxygen if your choice atheism make the most of it and believers also should make the most of believing ndivyi Bible yasema.

Wenye dhambi zidini kutenda dhambi na watakatifu zidini kuwa watakatifu it's all about freedom.

Asante.
Acha kujitangazia kuwa unampenda Mwanaume humu... ati anandika vizuri...
 
Ww ndo mwongo,,,,,na biblia imesema pia kila nafs itaonja mauti,,,,,,sasa cjui unabisha???????
We mchungaji Illovo, tuoneshe mahali katika Biblia palipoandikwa Kila Nafsi itaonja mauti.
 
I am Philanthropist
this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.
 
this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.
Nope that has nothing to do with any affiliation that is way of living loving humanity it's some kind of humanitarianism you may live humanity inside your compound the rest of your life.

But also live with people sharing and cheering all together is stunning.

Some people did share some knowledge that's why now we are conversating from far.
 
sijakana uwepo wa mungu, ila uwepo wa mungu huyu wa kikristo, there's no way you can tell me wazee wangu na mababu wote wa kiafrika waliofariki kabla ya kuja kwa ukristo wapo motoni kisa hawakumjua yesu alieletwa na mkoloni.
Mimi nina Imani sawasawa kabisa na yako. Tujiulize tu haya maswali:-

1) Wamisionary walituletea dini inayokataza uonevu, wizi, uuaji na dhulma lakini hao hao ndio walikuwa wezi wa mali zetu na wenye kudhulumu haswa.

2) Yesu alisema yeye ndiye njia ya kweli na uzima na hakuna aendaye kwa Baba yake bila kupitia kwake. JE wale wazee wetu waliokufa kabla ya sisi waafrika kupata habari za Yesu watachomwa moto?

JE mfano watu wa Asia kama wajapan, wachina, wahindi na wengineo yaani Bilions of people nao watachomwa?

Mimi sidanganywi kijinga. Namwamini Mungu ila kuna vingine vingi siviamini.

Kwanza siamini DINI yoyote kama dini.

3) Au je anayejiita mkristo, angezaliwa katika uislamu je angekubali kumfuata Yesu?

Kuna watu wana bongo ila hawazitumii kufikiria.
 
Nope that has nothing to do with any affiliation that is way of living loving humanity it's some kind of humanitarianism you may live humanity inside your compound the rest of your life.

But also live with people sharing and cheering all together is stunning.
hapo umenena, sasa vipi lile swali langu hapo juu?
 
Kwanza siamini DINI yoyote kama dini.

3) Au je anayejiita mkristo, angezaliwa katika uislamu je angekubali kumfuata Yesu?

Kuna watu wana bongo ila hawazitumii kufikiria.
kwenye nyumba zao za dini wameshaogopeshwa, kwa hio kuzungumza hapa hata mambo ambayo wanaona ni ndivyo sivyo wanaogopa..

kuna fellowship ilikua inafanyika sehemu flani dar jina nalihifadhi, kila jumapili kulikua na kipindi cha maswali na majibu, yani muumini anauliza swali, mtumishi / mchungaji anajibu.. kwa kweli wakristo walikua wanauliza maswali magumu na mengine majibu yake yalikosekana..

sasa kwa kadri mda ulivyokua unazidi kwenda, watumishi walivyoona maswali yanazidi kuwa magumu, walifuta kile kipindi na kuweka utaratibu wa mchungaji kuhubiri injili kila ule mda wa maswali na majibu unapofika.. mpaka hapo unagundua kuna vitu vinafichwa, na injili inayohubiriwa ni ile ya kutia watu mioyo ili wapunguze machungu ya dunia.
 
Back
Top Bottom