Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wakuu mnanichekesha sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naweza kubeti kwamba vibamia vya wakati huo vilikuwa na futi sita..urefu wa mtu mzima sasa sijui kina mandingo walikuwaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mnanichekesha sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naweza kubeti kwamba vibamia vya wakati huo vilikuwa na futi sita..urefu wa mtu mzima sasa sijui kina mandingo walikuwaje.
Majengo makubwa yenye structure za kuvutia yalijengwa na pharaohs inasemeka ndio kulikua na level ya juu ya civilizations hii history nimeisoma form three.![]()
![]()
Hii in identifications of Pharaoh during the times of Moses haya majengo mpaka Leo yapo Egypt na no moja ya vyanzo vikubwa vya mapato yatokanayo na maelfu ya watalii kila mwaka kutoka kila pembe ya dunia.
![]()
Namna pharaoh walivyokua wakivaa.
![]()
Na mabaki yao ambayo yapo katika makumbusho nchini Egypt yanathihirisha kweli hii jamii ilikua yenye nguvu na inasemekana lilikua in dola kubwa lililoenea kuanzia MTO Euphrates mpaka kaskazini mashariki mwa bars la Africa pembezoni mwa MTO Nile ambapo maji take yanatoka Tanzania ziwa Victoria.
![]()
Pyramids no utambulisho mkubwa sana Wa pharaoh kingdoms pyramid ya pharaoh yalikua na uwezo Wa kuhifadhi matani kwa matani ya nafaka yatakayolitosheleza taifa kwa hats miaka Kitano pia huko ndani kulijengwa kwa utaalam Wa hali ya juu na maarifa yaliyopindukia kiasi cha kupotea humo ndani kama huna ramani na pia mauzauza mengi kama umeingia kuiba dhahabu.
![]()
![]()
Mpaka American akaweka nembo ya pyramid ya Egypt kwenye dolla bill take kitu ambacho hakina kabisa historian na taiga la marekani.
![]()
Hapa ndio panaibuka mambo ya illuminati na NWO na conspiracies nyingine ambazo ukizifuatilia kwa ukaribu kuna kitu utagain dunia ilipotoka na inapoelekea.
Ila wanahistoria na wachunguzi wa mambo wanasema pharaohs walikua ni waafrika kabisa na pia biblia imeandika sana kuhusu pharaohs na mambo mengi yanaowahusu ambayo wataalam wameyafuatilia na kugundua walikua ni waafrika kabisa wenye ngozi nyeusi.
Mkuu REDEEMER. Mchango wako unahitajika hapa nafikiri utakua na kitu kikubwa cha kuongezea hapa.
Asante.

Sawasawa kiasi kikubwa umeandika points lakini hats Biblia inaelezea namna Jacob baba Wa Joseph alipofia Egypt alifanyiwa dawa iliyomfanya asioze ikumbukwe Jacob Alicia Egypt lakini hakuzikwa Egypt Bali Israel ni hizo preservers walizotumia Pharaoh ndio walimpaka Jacob sababu mwane alikua in waziri Mkuu Wa Egypt.Nice words na uchambuzi mzuri.
Pia pyramids hazikutumika kuhifadhi nafaka. Pia sio kila Pharaoh na dynasty ya Misri inawahusu waisrael. Ni Pharaohs wachache sana kati ya mafarao wa Misri walihusika na historia na Waisraeli.
Pia hakuna ushahidi kuwa waisraeli waliteswa kama wao walivyosema. Wamisri walikuwa wanaandika historia yao na events kuu kwa kila tomb ya farao. Faraoh aliyekwepo kipindi cha waisraeli hakufa kwa vita katika Red Sea kama biblia inavyosema alifunikwa na maji na jeshi lake.
Mapigo kumi haikuwa tukio la laana. Nzige ilitokana na mabadiliko ya hewa, mto kuwa na damu ilitokana algae wekundu kutawala na kusababisha vyura kuhamia kwenye makazi ya watu. Na baada ya kuua vyura nzi wakajaa kufuata mabaki ya mizoga. Lakini baada ya matatizo yake misri iliendelea kuwa power kubwa.
Waisraeli sio waliojenga misri. Kabla ya waisraeli na baada ya waisraeli kufika na kuondoka Misri ilikwepo.
Kila worker alikuwa analipwa, na walikuwa na makazi ya kuishi.
Hakuna farao aliyelaaniwa akawa haozi. Hawakuoza kwa sababu ya taratibu zilikuwa zinafanyika na wamisri kutunza miili ya Farao kwa hatua maalum za kuwakausha.
Pia wamisria ni wana asili ya Nubia na pre-Egyptian civilization ilianza Sudan kabla ya kuhamia Nile. Ushahidi upo.
Hizi elimu za kidini na conspiracy zinavyoielezea Misri sio kweli na wazungu wanavyosema wamisri ni wazungu au waarabu ndio uongo mkubwa.
Did you know that the word Egypt is a Greek word and it means BLACK. Did you know that the original name of the country was Kemet and the word means 'The Black Land.' Now come lets not go here. Did you know Greek visitors described the Egyptians as looking just like and identical to Subsaharan AFRICANS?
For those who do not believe the Ancient Egyptians were Black then you should google" Pyramids in Sudan" - Yes Sudan has 128 of the total 157 Egyptian Pyramids in Africa - Now ask yourself why don't National Geographic and the so called Egyptian scholars point this out and make it public? Becuz BLACK Sudan was a part of the BLACK Egyptian Kingdom called nubia - Lets take the word HUMAN - made up of two words - HUE meaning Color and Man meaning adult male - since whites have NO COLOR they are the real SUB-HUMANS
Na liwe fundisho,...siku nyingine mtu akitaka kuandika fiction yake...achanganye na ukweli kidogo.Wakuu mnanichekesha sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawasawa kiasi kikubwa umeandika points lakini hats Biblia inaelezea namna Jacob baba Wa Joseph alipofia Egypt alifanyiwa dawa iliyomfanya asioze ikumbukwe Jacob Alicia Egypt lakini hakuzikwa Egypt Bali Israel ni hizo preservers walizotumia Pharaoh ndio walimpaka Jacob sababu mwane alikua in waziri Mkuu Wa Egypt.
Genesis 50:3: they spent forty days in doing this, for that is the time required for embalming. And the Egyptians wept for him seventy days
Mkuu nafurahi unajionea mwenyewe aina ya watu wanao lumbana kama kweli mtu na akili zake timamu anapinga uwepo wa pharaohs tu kwasababu wameandikwa kwenye bible na yeye haamini bible unategemea nini?Ndugu sio kama nataka kubishana na imani yako lakini kitu unachopinga kina ushahidi wa kutosha kabisha ambao hauhitaji kuumiza sana kichwa kuupata.
No kweli Pharaoh walikuwepo na historian yao IPO na hata mabaki yao yapo unajua football team ya Egypt wanajiita the Pharaohs sasa hawajiiti vile kwa story za kutunga (mfano Wa level ya chini kabisa).
Mwili Wa Pharaoh Queen.
![]()
Soma history ya pharaoh kwenye Wikipedia (ukiona kitu kimeandikwa kwenye Wikipedia ondoa shaka nacho).
Pharaoh - Wikipedia, the free encyclopedia
Asante.
hahahahhahahhaahhaah alafu etii uko siriazi kabisaaaaaaa khaaaaaaaaa.Hawa watu washajitoa akili, unawaambia ukweli, wanauona, pengine wanaujua, lkini ndiyo washajitoa akili.
Kwenye saikolojia hicho kitu kinaitwa "cognitive dissonance".
Mtu kashakaa na dini yake maisha yake yote, maisha yake yote yanazunguka uongo kwamba Mungu yupo.
Siku ukimdhihirishia wazi kwamba Mungu hayupo atatafuta kila sababu kuamini kwamba Mungu yupo.
Wewe Biblia imesema Yesu aliwaambia watu atarudi kabla hao watu hawajafa.
Alisema hayo miaka 2,000 iliyopita.
Kawacha solemba mpaka leo hajarudi.
Bado watu wanaamini Yesu atarudi tu. Wanaamini Biblia kitabu cha Mungu.
Nimeweka mi contradictions kibao hapo kuonesha Biblia si kitabu cha Mungu. Kingekuwa cha Mungu angalau kisingekuwa na uongo wa kitoto.
Bado mtu anakwambia Biblia ni kitabu cha Mungu!
Nadhani una fallacy ya kujumlisha wayahudi wote.Wayahudi sio Wakristo, hata kama wanaamini kuwa kuna ukristo ila wao SIO wafuasi wa Kristo. ELEWA HILO.
Nini kinafanya Biblia ibaki?
Kwa nini watu wanaishambulia Biblia ivo?
Vitabu vya historia vimejaa makosa lakini hakuna anayetumia muda kuvishambulia. Historia ya Zanzibar haimtaji John Okelo, hutaona wa kuishambulia.
Una hakika vitabu vya historia havishambuliwi?Karne nyingi Biblia imepingwa sana na hata kusakwa na kuchomwa moto kila ilipopatikana kuliko kitabu chochote duniani. Maadui wa Biblia walipita Biblia ikabaki.
Nini kinafanya Biblia ibaki?
Kwa nini watu wanaishambulia Biblia ivo?
Vitabu vya historia vimejaa makosa lakini hakuna anayetumia muda kuvishambulia. Historia ya Zanzibar haimtaji John Okelo, hutaona wa kuishambulia.
Umewahi kusikia vitabu vya historia vimechomwa moto? Na nani? Na wapi? Na lini?Una hakika vitabu vya historia havishambuliwi?
Kitabu gani cha historia umesoma mara ya mwisho na ilikuwa lini?
Kuna mtu alisema John Okello kaumba ulimwengu?
Unataka focus ya habari za John Okello iwe sawa na focus ya kwa Mungu mnayesema kaumba ulimwengu?
Hujawahi kusikia?Umewahi kusikia vitabu vya historia vimechomwa moto? Na nani? Na wapi? Na lini?
Okelo nimemtaja km mfano ktk context ya Tz
Hujawahi kusikia?
Inawezekana unahitaji kuongeza kusoma.
List of book-burning incidents - Wikipedia, the free encyclopedia
Nimekuuliza unataka kumfananisha John Okello na Mungu wako?Ni Chinese books to hapo.
Mbona hata ktk list yako Biblia inaongoza through centuries mkuu? Umetaja Roman empire, Antiochus IV unajua aina yavitabu walivyochoma? Umetaja mpaka Yeremia?
Umesoma aina ya vitabu au umepest?
Ni kipi kime survive na kinapingwa hata leo kama Biblia,