brillnoel
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 667
- 652
sisi tukijibu hivyo tutaonekana tunakimbia hoja zenu.. usiwaze lakini nimekusoma.Ukweli ni kwamba kuna principal nimejiwekea nikiivunja sitajitendea haki nafsi yangu.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi tukijibu hivyo tutaonekana tunakimbia hoja zenu.. usiwaze lakini nimekusoma.Ukweli ni kwamba kuna principal nimejiwekea nikiivunja sitajitendea haki nafsi yangu.
Asante.
sisi tukijibu hivyo tutaonekana tunakimbia hoja zenu.. usiwaze lakini nimekusoma.
yesu alikufa akiwa na miaka 33.. endelea kutupa neno muinjilisti, naanza kupata upako.Ila kisayansi umri wa kuishi unazidi kupungua kadiri dunia inavyosonga mbele.Nakubaliana na dhana kuwa kizaz cha adam na hawa kiliishi miaka mingi zaidi yetu ila kama ilifika mia tisa ni ngumu kuamini maana ata Yesu aliishia miaka 30 tu.
Katika bibilia ata kizazi cha pili na cha tatu cha adam na eva vinatajwa kuishi miaka hiyo hiyo mia nane na kitu.
Ni fumbo.
if you think I am, then name it.this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.
So you are in a group?
Just kidding my friend!!!
I bet atheism.if you think I am, then name it.
nah, actually I admit, I have a group, and its called FAMILY.I bet atheism.
Good!!nah, actually I admit, I have a group, and its called FAMILY.
Hahahah...karibu kaka mtumishi!yesu alikufa akiwa na miaka 33.. endelea kutupa neno muinjilisti, naanza kupata upako.
Niongeza ya hapo kabla ya hao manabii wa biblia watu walikua wakiishije
Una uhakika gani kama ni Firauni? Ulishawahi kumwona kabla?jichange pesa uende Misri kufanya utalii kwenye jumba la makumbusho utaukuta mwili wake upo hadi leo. sio unapinga kitu bila ya kuuliza au kuchunguza. utachekwa aisee
Ukweli mtupu unaowaumiza wengi.blaza ipo hivi.. mzungu aliua misingi yetu ya kiiamini na kutufanya tuamini dini yao.. sasa kadri mwafrika akavyozidi kuichimbua imani aliyopandikizwa, anagundua kuna makosa, uongo na hadithi ambazo hazileti maana, so mwafrika amekua mtu wa kutafuta kitu angalau kinachoshabihiana na ukweli, PEOPLE WHO LISTEN TO BOTH SIDES OF THE STORY, THE TRUTH IS ALWAYS REVEALED TO THEM..
ni ukweli usiopingika biblia ina mambo ambayo hayaleti maana. Kwa mfano mstari huu Revelation 20:7-8 "Now when the thousand years have expired, Satan will be released from prison, And will go out to deceive nations which are in the corners of the earth"
wewe kwa akili zako timamu unaona huu mstari unaleta maana? sasa manake nini mungu kumfungulia shetani kwa makusudi ili aende kuwadanganya watu? hao watu watakaoingia dhambini atawalaumu au atamlaumu shetani?
akiwalaumu watu kwa kuingia dhambini na watu wakimuuliza kwanini ulimfungulia shetani, mungu atajibuje? na mungu akimhukumu shetani kwa kuwatia watu dhambini na shetani akimwambia si ulinifungulia mwenyewe, mungu atajibuje?
YOU CAN FOOL PEOPLE SOME TIME, BUT YOU CANNOT FOOL PEOPLE ALL THE TIME.
wewe ulienda lini, na misri sehemu gani acheni stori zenu za kitoto za madrasajichange pesa uende Misri kufanya utalii kwenye jumba la makumbusho utaukuta mwili wake upo hadi leo. sio unapinga kitu bila ya kuuliza au kuchunguza. utachekwa aisee
Ndugu sio kama nataka kubishana na imani yako lakini kitu unachopinga kina ushahidi wa kutosha kabisha ambao hauhitaji kuumiza sana kichwa kuupata.wewe ulienda lini, na misri sehemu gani acheni stori zenu za kitoto za madrasa
Halafu akareproduce watoto wangapi?adam aliishi 1000 yrs walipewa oportunity ya kuishi miaka mingi ili waweze kureproduce kwa wingi
100% True.siwezi kuwa mali ya mungu ambae mkatili. hivi unaamini kabisa dunia nzima kulikua hakuna mtu safi zaidi ya nuhu na familia yake? so wale wote waliozolewa na gharika walistahili?
wakati bado namwabudu huyo myahudi nilikua najiuliza hivi siku ya mwisho huyu muislam safi kabisa ninaemfahamu ataachwa kisa hamwamini myahudi?
sababu kuna waislam wanaotenda mema kuliko hao wakristo wanaomwamini myahudi ila dini ya kikristo inasema hao waislam hawawezi kuuona ufalme wa mungu kisa hawamwamini myahudi..
nikasema kuna mtu hapa anajitaftia ulaji..
I AM MATURE ENOUGH TO REALIZE THAT HUMANITY MATTERS MORE THAN RELIGION, AND IF SOMETHING SO CALLED GOD EXISTS THEN IT WILL APPRECIATE GOOD ACTS AND NOT RELIGIOUS BELIEFS.
Wayahudi sio Wakristo, hata kama wanaamini kuwa kuna ukristo ila wao SIO wafuasi wa Kristo. ELEWA HILO.Ukisema wayahudi hawaamini ukristo unakua unajiaibisha hivi unaweza kusema waarabu hawaamini ukristo kisa majority ni Muslim?
Yesu mwenyewe alikua myahudi Bible imeandikwa na wayahudi.
Hahahahahahahahaha.....!!!!kama kweli adam na eva walifikisha futi 90 sipati picha papuchi ya eva ilikua na ukubwa gani.