hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Hawa wafia dini walisha waokota sana.huyu mungu anawashughulikia wasiomwamini, lakini anashindwa kuwalinda wanaomwamini?? aisee.
hebu angalia kifo cha angela chibalonza.. mwanamama mashuhuri kabisa kwa kumsifu mungu, mwisho wa siku amekufa kwa ajali... halafu wanasema mungu amempenda zaidi???
mungu akikupenda zaidi anakuchukua mapema au anakuongezea maisha ili uzidi kumsifu? zile baraka za kuishi miaka mingi na heri duniani zimetoweka au?
hatari sana.