Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

I have never heard the existence of the mechanisms which turned Apes into Man, so if you have got any, bring it here and I will show you its origin....From what I know every species evolved separately but it was by chance that evolution of Man had closer similarities to that of Apes.Its not like Apes existed before Man and at once turned to be Man, not.
So there were two different evolutions of man and apes?

Apes evolution ended where and man evolution originated where?

So where is the modern man came from?
 
Kuna mambo unahitaji kufahamu kuhusu bible. Otherwise unaandika upuuzi tu. Zamani ilikuwa kawaida kabla ya Mungu kutulaani nakuwa na life span ya 70yrs na zaidi ya hapo anasema ni neema
 
So there were two different evolutions of man and apes?

Apes evolution ended where and man evolution originated where?

So where is the modern man came from?
1.Aye, evolution of Man was/is different to that of Apes.
2.Both evolutions originate at the same time and still progressing at once.

3. qn3 is still an ongoing scientific subject however I know something about it but as it is long subject I will need to start another thread.
 
Kuna mambo unahitaji kufahamu kuhusu bible. Otherwise unaandika upuuzi tu. Zamani ilikuwa kawaida kabla ya Mungu kutulaani nakuwa na life span ya 70yrs na zaidi ya hapo anasema ni neema
na wewe unasema kabisa mungu katulaani, kana kwamba ulifanya wewe hizo dhambi... umesahau mstari usemao uovu wa baba hataurithi mwana? kwanini ubebeshwe mzigo si wako?
 
1.Aye, evolution of Man was/is different to that of Apes.
2.Both evolutions originate at the same time and still progressing at once.

3. qn3 is still an ongoing scientific subject however I know something about it but as it is long subject I will need to start another thread.
Dah! Aiseee
Me sijakuelewa kwa kweli umesema kuna evolutions mbili moja inahusu nyani na nyingine inamuhusu mwanadamu sio?

Sasa nakutaka unipe maelezo ya kila evolution.

Am watching
 
Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?

Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuamini Mungu (atheism) areply hii message.
 
Dah! Aiseee
Me sijakuelewa kwa kweli umesema kuna evolutions mbili moja inahusu nyani na nyingine inamuhusu mwanadamu sio?

Sasa nakutaka unipe maelezo ya kila evolution.

Am watching
Kama ulishaona magari mawili yakisafiri kwenye double roads ndivyo ilivyo kwenye hizo evolution...yanaweza kuwa na stand/chanzo kimoja lakini yanasafiri kwenye barabara mbili, A na B siyo kwamba gari la barabara A lilihamia kwenye barabara B, hapana? kama ingekuwa hivyo kwenye barabara A kusingebaki kitu.Lakini kumbuka haya magari yanapita barabara, mazingiza na speed ya kufanana na hayo magari yanaruhusu kubadilika, hivyo siyo jamba la kushangaza kama hayo magari yatafanana?
 
Kama ulishaona magari mawili yakisafiri kwenye double roads ndivyo ilivyo kwenye hizo evolution...yanaweza kuwa na stand/chanzo kimoja lakini yanasafiri kwenye barabara mbili, A na B siyo kwamba gari la barabara A lilihamia kwenye barabara B, hapana? kama ingekuwa hivyo kwenye barabara A kusingebaki kitu.Lakini kumbuka haya magari yanapita barabara, mazingiza na speed ya kufanana na hayo magari yanaruhusu kubadilika, hivyo siyo jamba la kushangaza kama hayo magari yatafanana?
Hivi hapa tunaongelea magari?
Unajua mjadala wa kiscience (intelligence)?
 
Hivi hapa tunaongelea magari?
Unajua mjadala wa kiscience (intelligence)?
Mkuu hiyo si ni mifano au? mbona wewe ulileta mifano ya vyura na ndege na nikakujibu poa tu?...tukutane kesho kwa mjadala zaidi.
 
Mkuu hiyo si ni mifano au? mbona wewe ulileta mifano ya vyura na ndege na nikakujibu poa tu?...tukutane kesho kwa mjadala zaidi.
Umejibu wapi poa? Zile ni pumba tupu ulioziandika pale
Kwanini unajiingiza kwenye imani ambazo hizijui?
Kama swala hulijui si useme nimeshindwa siwezi kuliko kuandika madudu unayoyaandika?
Naona atheists mpo wengi humu kwanini usimuite mwenzako akusaidie kama ulivyoniita awali kwenye hii thread?

Nataka majibu yanayojitosheleza ya evolutions za nyani na mwanadamu iwe leo au kesho.

Mnatia hata huruma.
 
Kuna mambo unahitaji kufahamu kuhusu bible. Otherwise unaandika upuuzi tu. Zamani ilikuwa kawaida kabla ya Mungu kutulaani nakuwa na life span ya 70yrs na zaidi ya hapo anasema ni neema
Kama Laana ilianzia kwa akina adam na hawa sasa ilkuwaje wao wakaishi miaka 900 harafu ww uishi miaka 70?
 
MWANZO 1:3-5

"Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru. Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja."


MWANZO 1:16-18

"Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia. Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne."

mungu katengeneza mchana na usiku mara mbili.. yani siku ya kwanza na siku ya nne.

au ile siku ya kwanza alitengeneza tochi? ipo wazi kabisa mchana huwa unaangazwa na jua, usiku na mwezi, kwa hio tangu siku ya kwanza hivyo vitu vilikuwepo.

huyu mwandishi lengo lilikua ni kujaza mistari katika biblia au vipi?
 
Genesis 1:20

"And God said, Let the waters bring forth abundantly the moving creature that hath life, and fowl that may fly above the earth in the open firmament of heaven."

Genesis 2:19

And out of the ground the Lord God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

were the creatures created / formed by soil or by water?

genesis 1:20 inasema maji yaliunda kila kiumbe kitambaacho na ndege wa angani. neno bring forth manake ni give birth to / kuzaa / unda / umba.

genesis 2:19 inasema mungu alifanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni na ndege wa angani..

it is the little details that matter.. so which is which?
 
Mwanzo 1:
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.

6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.

7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.

8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.

9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.

12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

13 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.


14 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;

15 tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo.

16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.

17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi

18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

19 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne
.

20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.

21 Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

22 Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.

23 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.

24 Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.

25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.

31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.


Ama kweli Mungu akishakuita Mpumbav.u ni Mpumbav.u daima.

Zaburi 53

1 Mpumbav.u amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

 
Uliyeandika inawezekana kama ni Mkristu dini uko mbali nayo sana na kama sio tunakusamehe.kitabu chamwanzo nyuma ya hadithi za Nabii Ibrahimu ni masimulizi wa Mfalme Suleiman kuhusiana na dunia ilianzaje huko zamani.Kumbuka Mfalme Suleiman alijaaliwa nn na kama unataka ku doubt masimulizi yake poa tu
 
MWANZO 8:13

"Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka."

MWANZO 8:14

"Na mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa kavu."
* * * * * * * * * * * * * *

nchi ilikauka / ilikua kavu mwezi wa kwanza tarehe moja au mwezi wa pili tarehe 27?
 
The word `utopia’ means, in its roots, “that which never comes.” You can dream about it, but your dream is an exercise in utter futility; it is utopian, it is not going to come, ever. It is a hopeless hope.

It is an opium to keep people dreaming and hallucinating, so that they can tolerate the suffering and misery in the present.
Kuna mtu alisema "Religion is an opium dose"
 
Kumbukeni kabla ya ywsu miaka ilianza kuhesabiwa kutoka juu kwenda chini ....hivyo miaka 900 isiwatishe sana kikubwa ni kujua ilianza kuhesabiwa kutoka wapi Ila after Christ miaka ilianza kama unavyoijua wewe mtoa post so angalia na chambua kitu kabla hujaachia hadharan
 
Kuna mtu alisema "Religion is an opium dose"
Mkuu, Consciousness is not for everybody...

I'm against the scriptures but i think when Jesus was talking about kingdom of god he was talking about consciousness (kingdom of god is within you), and people mistake it with some place in heaven where there is no sin sex eating whatsoever they might think of.. TOTALLY STUPID.
 
Back
Top Bottom