REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hello i have a little question here!Kuna mtu alisema "Religion is an opium dose"
Unaweza kuigiza movie ya ponograph?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello i have a little question here!Kuna mtu alisema "Religion is an opium dose"
Je Wewe unaweza?Hello i have a little question here!
Unaweza kuigiza movie ya ponograph?
I have asked you a question please consider intelligence while you are here am the first to ask you. You may opt to answer it or quit but nor asking me back the same question that's intelligence.Je Wewe unaweza?
My answer is can you?I have asked you a question please consider intelligence while you are here am the first to ask you. You may opt to answer it or quit but nor asking me back the same question that's intelligence.
That's so childishness.
Sasa hilo ni jibu au swali tena?My answer is can you?
Kuhesabu miaka kuanzia juu kwenda chini walikuwa wanamaanisha nini?Kumbukeni kabla ya ywsu miaka ilianza kuhesabiwa kutoka juu kwenda chini ....hivyo miaka 900 isiwatishe sana kikubwa ni kujua ilianza kuhesabiwa kutoka wapi Ila after Christ miaka ilianza kama unavyoijua wewe mtoa post so angalia na chambua kitu kabla hujaachia hadharan
hichi kinatufundisha nini?Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Huyo mtu yupo sawa kabisa mkuu....Dini ina addiction kama yalivyo madawa ya kulevya.Kuna mtu alisema "Religion is an opium dose"
Mimi nilikuita kuja kujibu yale makosa 101 ya bible, ila baada ya kugundua kwamba ni makos kweli yasiyobebeka...umeamua kudivert na kujiibgiza kwenye mambo mengine...Jibu kwanza kile nilichokuitia.Umejibu wapi poa? Zile ni pumba tupu ulioziandika pale
Kwanini unajiingiza kwenye imani ambazo hizijui?
Kama swala hulijui si useme nimeshindwa siwezi kuliko kuandika madudu unayoyaandika?
Naona atheists mpo wengi humu kwanini usimuite mwenzako akusaidie kama ulivyoniita awali kwenye hii thread?
Nataka majibu yanayojitosheleza ya evolutions za nyani na mwanadamu iwe leo au kesho.
Mnatia hata huruma.
wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?
Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.
Kwa mara ya pili.
Nimekuambia naandaa thread kudeal na vitu 101 sio one second show.Mimi nilikuita kuja kujibu yale makosa 101 ya bible, ila baada ya kugundua kwamba ni makos kweli yasiyobebeka...umeamua kudivert na kujiibgiza kwenye mambo mengine...Jibu kwanza kile nilichokuitia.
Alafu ndio unajiita great thinker tena kwenye jamii intelligence naona tu ni umbumbumbu na ushamba unakusumbua kwa akili za namna hii utaelewa hata maana ya imani kweli?wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmmmm aiseeee mambo yanayohusu biblia au kitabu kile cha upande wa pili hua sipendi Ku commentMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Hivi sijakuambia kwamba evolution ni somo linaloendelea kisayansi? na nikakuambia kwa kile ninachokifahamu nitakianzishia uzi?....BTW katika watu wabovu niliowahi kujadiliana nao jambo wewe ndiye mtu mbovu zaid, Unaunderestimate hoja za upande mwingine na kujiona kuwa wewe ndio upo sahihi kabisa bila kuwa na evidence za kutosha.....Cha kufanya jibu kwanza hizo hoja 101 na mimi nitakuandalia thread niliyoahidi.Nimekuambia naandaa thread kudeal na vitu 101 sio one second show.
Jibu maswali yangu niliyokupa acha kutoroka hoja kinamna hapa.
Yaani wewe ndio ulinifanya nibaki kinywa wazi eti kuna evolution mbili??????Hivi sijakuambia kwamba evolution ni somo linaloendelea kisayansi? na nikakuambia kwa kile ninachokifahamu nitakianzishia uzi?....BTW katika watu wabovu niliowahi kujadiliana nao jambo wewe ndiye mtu mbovu zaid, Unaunderestimate hoja za upande mwingine na kujiona kuwa wewe ndio upo sahihi kabisa bila kuwa na evidence za kutosha.....Cha kufanya jibu kwanza hizo hoja 101 na mimi nitakuandalia thread niliyoahidi.
mbumbumbu wewe ambae hakuna swali ata moja ulilojibu kumtetea uyo mungu wako zaidi ya kuja na mada za frog na birds, b!tch please [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu ndio unajiita great thinker tena kwenye jamii intelligence naona tu ni umbumbumbu na ushamba unakusumbua kwa akili za namna hii utaelewa hata maana ya imani kweli?
Hoja nzito kwa akili nyepesi hiyo pole.