Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Je Wewe unaweza?
I have asked you a question please consider intelligence while you are here am the first to ask you. You may opt to answer it or quit but nor asking me back the same question that's intelligence.

That's so childishness.
 
My answer is can you?
 
IF SOMEONE ASKS YOU WHAT DO YOU KNOW ABOUT GOD:

He damned the whole human race and cursed the entire creation because of the acts of two people (Genesis 3:16-23; Romans 5:18);

He drowned pregnant women and innocent children and animals at the time of the Flood (Genesis 7:20-23);

He tormented the Egyptians and their animals with hail and disease because pharaoh refused to let the Israelites leave Egypt (Exodus 9:8-11,25);

He killed Egyptian babies at the time of the Passover (Exodus 12:29-30).

After the Exodus he ordered the Israelites to exterminate the men, women, and children of seven nations and steal their land (Deuteronomy 7:1-2);

He killed King David’s baby because of David’s adultery with Bathsheba (II Samuel 12:13-18); he required the torture and murder of his own son (e.g., Romans 3:24-25)

huyo ndo mungu wa hawa wakristo.. no wonder wanatamani watu wote humu wanaowapinga wapigwe na radi wafe.. na akili zao zimejengwa kufikiri hivyo kutokana na maandiko kama haya. sistaajabu, hata mungu wao yupo hivyo.

I DONT BELIEVE IN JESUS BUT I DONT WISH NO HARM ON ANYBODY, AND THAT MAKES ME EVIL JUST CAUSE I DONT BELIEVE IN THIS MYAHUDI GUY?

Gerarahia son.
 
Kumbukeni kabla ya ywsu miaka ilianza kuhesabiwa kutoka juu kwenda chini ....hivyo miaka 900 isiwatishe sana kikubwa ni kujua ilianza kuhesabiwa kutoka wapi Ila after Christ miaka ilianza kama unavyoijua wewe mtoa post so angalia na chambua kitu kabla hujaachia hadharan
Kuhesabu miaka kuanzia juu kwenda chini walikuwa wanamaanisha nini?

Kama sio unataka kutulusha salakasi.
 
Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?

Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.

Kwa mara ya pili.
 
Umejibu wapi poa? Zile ni pumba tupu ulioziandika pale
Kwanini unajiingiza kwenye imani ambazo hizijui?
Kama swala hulijui si useme nimeshindwa siwezi kuliko kuandika madudu unayoyaandika?
Naona atheists mpo wengi humu kwanini usimuite mwenzako akusaidie kama ulivyoniita awali kwenye hii thread?

Nataka majibu yanayojitosheleza ya evolutions za nyani na mwanadamu iwe leo au kesho.

Mnatia hata huruma.
Mimi nilikuita kuja kujibu yale makosa 101 ya bible, ila baada ya kugundua kwamba ni makos kweli yasiyobebeka...umeamua kudivert na kujiibgiza kwenye mambo mengine...Jibu kwanza kile nilichokuitia.
 
Nguvu kubwa ya atheist uchwara wa Tanzania imejikita kwenye kuchambua Bible wasioijua na hapa nimeshuhudia wengi wakijitoa ufahamu kuleta mambo wanayoyaita "makosa ya Bible" ambayo kimsingi hayapo na ni ulimbukeni tu wakutokujua luisoma wala kuichambua Bible.

Kitu kikubwa ni kuifananisha Bible na kitabu cha history au modern day novel ambayo imewrka citations and preliminaries pamoja na bibliographic articles this is weird you can't regarding Bible as the way you want it to be that book composing some centuries and had been written on it's unique peripheral surroundings, lifestyle, history, wisdom and Godly way too far from our modern time.

That's God's centered article discerned and grasped by Holly Spirit you can't regarding it like history book and that's Faith.

Inakuwaje mtu hamuamini Mungu eti sababu kuna "makosa" kwenye vitabu hivi hii inaingia akilini unaweza usiamini kama TV haifanyi kazi kisa tu manual book yake imeandikwa kijapan au hauelewi ndio kunafanya TV au gari lisifanye kazi?
 
Aisee mnatia huruma hamna mnalolijua sio hili wala lile hata imani yenu ya kutomuamini Mungu nayo hamuijui. Mbumbumbu kabisa science hauijui wala physics hauijui unajiita atheist haujui hata atheism nayo ni imani?

Nataka mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali yangu kuhusu kutokuaminiMungu (atheism) areply hii message.

Kwa mara ya pili.
wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilikuita kuja kujibu yale makosa 101 ya bible, ila baada ya kugundua kwamba ni makos kweli yasiyobebeka...umeamua kudivert na kujiibgiza kwenye mambo mengine...Jibu kwanza kile nilichokuitia.
Nimekuambia naandaa thread kudeal na vitu 101 sio one second show.

Jibu maswali yangu niliyokupa acha kutoroka hoja kinamna hapa.
 
wewe hem toka kwenye thread ya wanaume, nenda kablidi ukimaliza kakojoe ukalale, unaonekana upo kwenye siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu ndio unajiita great thinker tena kwenye jamii intelligence naona tu ni umbumbumbu na ushamba unakusumbua kwa akili za namna hii utaelewa hata maana ya imani kweli?

Hoja nzito kwa akili nyepesi hiyo pole.
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Mmmmmm aiseeee mambo yanayohusu biblia au kitabu kile cha upande wa pili hua sipendi Ku comment
 
Nimekuambia naandaa thread kudeal na vitu 101 sio one second show.

Jibu maswali yangu niliyokupa acha kutoroka hoja kinamna hapa.
Hivi sijakuambia kwamba evolution ni somo linaloendelea kisayansi? na nikakuambia kwa kile ninachokifahamu nitakianzishia uzi?....BTW katika watu wabovu niliowahi kujadiliana nao jambo wewe ndiye mtu mbovu zaid, Unaunderestimate hoja za upande mwingine na kujiona kuwa wewe ndio upo sahihi kabisa bila kuwa na evidence za kutosha.....Cha kufanya jibu kwanza hizo hoja 101 na mimi nitakuandalia thread niliyoahidi.
 
Yaani wewe ndio ulinifanya nibaki kinywa wazi eti kuna evolution mbili??????
Like serious????
Eti evolution ya apes na evolution ya man are you on you total senses?
 
Alafu ndio unajiita great thinker tena kwenye jamii intelligence naona tu ni umbumbumbu na ushamba unakusumbua kwa akili za namna hii utaelewa hata maana ya imani kweli?

Hoja nzito kwa akili nyepesi hiyo pole.
mbumbumbu wewe ambae hakuna swali ata moja ulilojibu kumtetea uyo mungu wako zaidi ya kuja na mada za frog na birds, b!tch please [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeshawadisqualify wote na nimeona napoteza muda wangu tu na viluilui najiaibisha kabisa kujadiliana na watu kama nyie huyo mwenzio ameleta mistari ya Bible hapo anasema ina mapungufu nimemjibu naona kama amejiona choo sababu amejiona mwenyewe ni namna gani alivyo na twisted mindset.

Wewe nawe ndio si lolote si chochote mmebaki tu kujambajamba hoja hamna ni kuongea tu pumba.
 
Back
Top Bottom