REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Sasa kuanzia kesho tengeneza mfumo mzima wako sababu we ndio uliosema huwezi amini Bible ya mzungu kuanzia saivi isiwe Bible tu mpaka na vyeti vyako ulivyosugulia mabench na madawati huko shuleni kavichome sababu system yote ni uzunguni na masomo yote uliyoyasoma format ubongo mzima ondoa chochote ulichoaminishwa na walimu wako.acha upumbavu huwezi kujivunia kitu ambacho sio chako, watu wanafanya hivyo vyote ulivyovitaja kutokana na kwamba hamna namna, kwa ni sisi tulimuomba mzungu aje kutupa huo ujuzi? hivyo vyote kavifanya kwa manufaa yake..
kwani kabla ya wao kuja tulikua hatuishi? acha kuongea pumba.
Hapo utakuwa pure African through hata Africa nayo ni kizungu.