Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Huyo ndio zake nimeshamshinda leo kwenye hoja sio chini ya tano akishtukia namshinda hawezi kurelaize openly bali anajifanya naye alikua na mawazo kama yangu ila ukisoma messages zake za nyuma ndio utajua anajidai kukubaliana na kitu ambacho awali alikipinga.

Hivyo hapo i count kama ameshindwa hoja.
Sasa anashindwaje hoja kwa ukweli ulio wazi kwamba bible ni uuongo au we unaona ukweli kaka
 
swala ni kwamba biblia imeletwa na mzungu na humo kwenye biblia mungu anawaahidi hao manabii zake utawala wa nchi ambazo sio zao na mungu wa hao manabii kuwa mungu wa hizo nchi zitakazokua chini ya utawala wao.

sasa ukiangalia hali halisi ya sasa hivi unaona kabisa we are under someone else's authority na tunaabudu wanachokiabudu..

we have been conquered, but as long as long we see no guns around, we think we are free!!!
Do your level best to emancipate yourself especially from soul and mind bondage.
 
Mkuu japo sikuungi mkono kwa suala lako la kutoamini uwepo wa Mungu lakini uko vizuri sana katka kutetea hoja zako hata tunaoamini Mungu yupo unatushinda kwa hoja

Lakini yakupasa kuamini kuwa Mungu yupo japo inakuwa ngumu sana kuthibitisha kwakuwa Mungu hujidhihirisha kwa wale wanao muamini tu

Sisi tulio muamini tumeyashuhudia matendo ya Mungu
inawezekana akawepo ila huyo mungu ambae ni mwepesi wa hasira, na anaeruhusu kosa la watu wawili liendelee kuiangamiza dunia sipo tayari kumuabudu.
 
a person who doesnt have a wound doesnt need a bandage.. take that back [emoji109] [emoji109]
Oh God i have said bondage.

Bondage
noun
  1. The state of being enslaved or the practice of slavery.
    In Judeo-Christian tradition, the Israelites fled bondageat the hands of the Egyptians, only to wander in the wilderness for the next four decades.
    • 1900, L. Frank Baum, The Wonderful Wizard of Oz
  2. (by extension) The state of lacking freedom; constraint.
    He lived in financial bondageto his cocaine habit; no matter how much he earned, it all seemed to disappear up his nose.
 
Wapinga kristo wako wengi sana.anaikosoa biblia ila hajui kilichoandikwa kwenye kuruani.nafikiri ingetafsiriwa kwa kiswahili angebadili mpk dini.
 
Oh God i have said bondage.

Bondage
noun
  1. The state of being enslaved or the practice of slavery.
    In Judeo-Christian tradition, the Israelites fled bondageat the hands of the Egyptians, only to wander in the wilderness for the next four decades.
    • 1900, L. Frank Baum, The Wonderful Wizard of Oz
  2. (by extension) The state of lacking freedom; constraint.
    He lived in financial bondageto his cocaine habit; no matter how much he earned, it all seemed to disappear up his nose.
ndo nakwambiaje, mtu ambae hana kidonda haitaji bandeji..
I was speaking metaphorically.
 
Wayahudi walitwaliwa na warumi
yeah,wayahudi kipindi cha yesu walitawaliwa na warumi lakini kabla ya hapo walitawaliwa na wafilist,waasyria,wababel,wapersia,lakini hadi miaka ya 70AD,au miaka 30 baada ya kufa yesu bado ukristo haukuwa dini inayoabudiwa uyahudi,
ni wakati wa mfalme costantine wa Rumi kutawala ndo akawa ameamua kuwa mkirsto na ikawa ndo dini ya ufalme wa roma
 
mimi ni mkristo nina kipawa cha kujua kitu hata kama sija kisoma nika jalibu kufatilia sana tena kiundani bila kutaka sheik wala mchungaji nilitafuta historia ambayo si rahisi watanzania kuwa wadadisi nikaona kuwa uislamu ndio dini hata yesu alikuwa muislamu na uislamu ndio ulikuwepo na watu waliswali japo wazungu hawa taki kusema ukweli hata kidogo kuna mambo ambayo kwenye ukristo wame chukua kwenye uislamu si wamechukua bali wameboresha
mkuumbona unaongea kinyume.
uislamu karne ya 4/5 unahusiano na mambo ya Yesu aliyekuwepo kabla ya hii kitu.
Ni sawa na kusema MKWAWA alikuwa CCM kwa sababu Ideology walizojiwekea na definition zake ni kwa sehemu flani zilifanana na za MKWAWA.
Kama unapenda kusoma huwezi kujikuta kwenye mlengo uliouchagua.
 
Unaweza kunipa characteristic za mungu wako?
The following are characteristics of my living God :he works for his people in providing good, he is above all names, principalities, gods and kings, he reigns in praise and worship, he has released lonely begotten son for gentiles to attain redemption, he is the word and bread of life, those are few mentioned characteristics
 
yeah,wayahudi kipindi cha yesu walitawaliwa na warumi lakini kabla ya hapo walitawaliwa na wafilist,waasyria,wababel,wapersia,lakini hadi miaka ya 70AD,au miaka 30 baada ya kufa yesu bado ukristo haukuwa dini inayoabudiwa uyahudi,
ni wakati wa mfalme costantine wa Rumi kutawala ndo akawa ameamua kuwa mkirsto na ikawa ndo dini ya ufalme wa roma
Baada ya kuitooa kutoka kwa wagiriki ambao walikuja kuiba siri egypt na ethiopia
 
Back
Top Bottom