UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Sasa anashindwaje hoja kwa ukweli ulio wazi kwamba bible ni uuongo au we unaona ukweli kakaHuyo ndio zake nimeshamshinda leo kwenye hoja sio chini ya tano akishtukia namshinda hawezi kurelaize openly bali anajifanya naye alikua na mawazo kama yangu ila ukisoma messages zake za nyuma ndio utajua anajidai kukubaliana na kitu ambacho awali alikipinga.
Hivyo hapo i count kama ameshindwa hoja.