Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Uyahudi ni dini na ukristo ni dini. Tofauti ipo kama vile uislamu ulivyo tofauti na ukristo. Wayahudi hawaamini juu ya Yesu kuwa ndie masiha. Waislamu pia hawaamini hiloUkristo umeenezwa ulimwenguni na wayahudi na wayahudi ndio wakwanza kuisikia Injili wao ndio waliyoandika Bible Kristo ndio anatoka huko sasa unautemgaje ukristo na uyahudi?
Unajua kanisa la kwanza duniani la Antiokia lilikua wapi?