Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Habari zenu wana jamv!.jaman mwenzenu ninanatatizo na ninahitaji msaada wenu wa kimawazo mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23 ninampenzi wangu ambaye hivi majuzi tar25 nilipata nafasi ya kujirusha naye na kwakua aliniambia anahisi yuko kwenye siku zake za hatari basi tulitumia zana. Lakini kwa bahati mbaya wakati wa tendo mpira ulipasuka na kusababisha nimwage shahawa ndani na kufanya mimi na mpenzi wangu kuwa na wasiwasi wa kuwa anaweza kuwa ameshika mimba ambayo hatukuitarajia sasa naomba kuuliza; kwa kua aliniambia aliingia kwenye damu ya mwezi tar 11 na mimi nilikutana naye tar25 mwez huu je anaweza kuwa ameshika mimba? USHAURI WENU PLZ, NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.