Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

Missouri

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
240
Reaction score
365
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.

Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi.

Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
 
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi,kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa Kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.
Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi..
Sio kweli ninachojua msaada aliyoomba ni kutoka Russia na Iran.
 
Washazoea mazinga umbwe igizo la uponyaji FAKE afu mikelele kibao utasikia tumsifu Netanyahu
We ni nyumbu,unafikiri kila anayemuandika Netanyahu in your so called positive way ni Pro Netanyahu?
Shirikisha ubongo wako acha Akili za kushikiwa..
Hiyo title Ina alama ya kuuliza,au hujajifunza question tags nini
 
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi,kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa Kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.
Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi..
Yote yanawezekana kwa waisiharamu maana uwezi kuwa muisiharamu na ukawa na akili ...mimi nikiona muarabu na mzungu wakiuana napata furaha kubwa sana au muarabu kwa muarabu au muislamu kwa muislamu wakichinjana kwangu ni faraja haswa
 
We ni nyumbu,unafikiri kila anayemuandika Netanyahu in your so called positive way ni Pro Netanyahu?
Shirikisha ubongo wako acha Akili za kushikiwa..
Hiyo title Ina alama ya kuuliza,au hujajifunza question tags nini
Sasa umechukia nn ikiwa iyo habari ata ww unamashaka nayo!!!!
 
Sawa kabisa. If you can't fight them join them. Kwa hali ilivyo Mashariki ya kati ni bora kukubali kuliwa kidogo na USA na Yahudi kuliko kuishi roho juu juu na kupoteza mazima. Maana Miarabu ilishaonesha udhaifu wa kutoweza kuwa kitu kimoja. Hivyo, ni bora kula pamoja na adui yako ingawa unajua kabisa unaliwa kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom