Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

Na elimu yako ya darasa 2 C huna chakunfundsha kjana tafuta wajnga wenzio
Wewe ni wakupuuzwa, umetanguliza ubishi badala ya kutanguliza Akili.
Nani apoteze mda wa kukufundisha mtu kama wewe. Umeona kabisa Title niliyoiandika Ina alama ya kuuliza,badala ujibu unakuja kuandika UHARO tu hapa.
 
M nmeleta ubsh wapi kjana? au kukoment WALOKOLE NI MATAAHIRA kwako ni ubishi? ujnga ni janga kubwa
 
M nmesema walokole, kuna sehemu nmemtaja mtu mimi hapo kwa jina? rudi shule upunguze ujnga kdogo
Mimi ni mlokole kwahiyo hata kama hujamtaja mtu,hilo jina linanihusu kwa asilimia 100%, sihitaji kurudi shule kwa kitu ambacho hata mtu aliyeishia kwenye darasa lililokuwa na mada ya HAWAFU MWENYE NGUVU angeweza kuking'amua.
 
M nmeleta ubsh wapi kjana? au kukoment WALOKOLE NI MATAHIRA kwako ni ubishi? ujnga ni janga kubwa
Kusema walokole ni matahira,it's a direct attack to me kwasababu Mimi ni mlokole,ndiyo maana namimi nime retaliate.
Kati yangu na wewe ni nani tahira, umewekewa mada mezani huipingi Wala kuikubali lakini unahitimisha kwamba walokole ni matahira...
Onesha utahira wa walokole in relation to the Title ambayo nimeiposti.
 
Mimi ni mlokole kwahiyo hata kama hujamtaja mtu,hilo jina linanihusu kwa asilimia 100%, sihitaji kurudi shule kwa kitu ambacho hata mtu aliyeishia kwenye darasa lililokuwa na mada ya HAWAFU MWENYE NGUVU angeweza kuking'amua.
SASA KAMA WE MLOKOLE SI NSHASEMA NI MATAAHIRA AU UNATAKA KUJITETEA KAMA SI MATAAHIRA? IPI HOJA YAKO KJANA!
 
Kusema walokole ni matahira,it's a direct attack to me kwasababu Mimi ni mlokole,ndiyo maana namimi nime retaliate.
Kati yangu na wewe ni nani tahira, umewekewa mada mezani huipingi Wala kuikubali lakini unahitimisha kwamba walokole ni matahira...
Onesha utahira wa walokole in relation to the Title ambayo nimeiposti.
WALOKOLE NI MATAAHIRA HALINA UBISHI, NA DALILI ZA TAAHIRA UNAZIJUA KAMA UJUHI KAGUGO.
 
Kwamba leo hii Iran na Israel wakakae meza moja pale Syria kwajili ya Assad? Hivi juzi tu hapa Israel kampiga biti Iran kuhusu kumsaidia Assad halafu leo hii yeye ndio akawe msaada kwa Assad? Siasa za mashariki ya kati kati huzijui bora uwe unasoma post za weñgine tu humu.

Nyuma ya huu mgogoro uliopo Syria wale waasi wanapewa backup na turkey, USA hata Israel wenyewe wamo.
 
Ni habari ya kweli na imevujishwa huko X Assad kampigia magoti Netanyahu huku akilia na kusaga meno kwa kumsaidia Ayatolah na Hezbullah.
Nawashangaa hapa hawa jamaa wa Jf wameanza kunishambulia..
Mimi nilikuwa nauliza swali ili kama mtu amepitia kwenye nyuzi mbalimbali aje tujuzane lakini hawa jamaa wa JF vichwa nyasi wameanza kunishambulia
 
JF ni kama Kokolo limezoa kila aina ya Watu😆😁 na wengine waanstress zao.

Wengine hasira za Gaza Lebanon na Syria wanataka kukumalizia wewe, kama kuna Jamaa jana alikuwa akiporomosha matusi ya nguoni kwa members ambao ni Pro Israel akapigwa na Ban🤣🤣
 
JF ni kama Kokolo limezoa kila aina ya Watu😆😁 na wengine wanstress zao.

Wengine hasira za Gaza Lebanon na Syria wanataka kukumalizia wewe, kama kuna Jamaa jana alikuwa akiporomosha matusi ya nguoni kwa members ambao ni Pro Israel akapigwa na Ban🤣🤣
Kazi Kweli kweli,sasa nimeitafuta link nimeshai update

Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
 
Kwamba leo hii Iran na Israel wakakae meza moja pale Syria kwajili ya Assad? Hivi juzi tu hapa Israel kampiga biti Iran kuhusu kumsaidia Assad halafu leo hii yeye ndio akawe msaada kwa Assad? Siasa za mashariki ya kati kati huzijui bora uwe unasoma post za weñgine tu humu.

Nyuma ya huu mgogoro uliopo Syria wale waasi wanapewa backup na turkey, USA hata Israel wenyewe wamo.
Usijifanye unajua kilakitu,Kuna mambo mengine inatakiwa uwe mpole,ujifunze.
Haya soma hii link hapa chini.

Back
Top Bottom