Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

Yote yanawezekana kwa waisiharamu maana uwezi kuwa muisiharamu na ukawa na akili ...mimi nikiona muarabu na mzungu wakiuana napata furaha kubwa sana au muarabu kwa muarabu au muislamu kwa muislamu wakichinjana kwangu ni faraja haswa
Una matatizo ya kiakili, muone doc mapema.
 
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.

Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi.



Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
Sio kweli, hajaomba na hana mpango wa kuomba.
 
WALOKOLE NI MATAHIRA
Screenshot_20241206-183746.jpg
Walokole watakuwa wamepata huku hiyo habari, walokole wanamambo dah....🤔🤔
 
Kwamba leo hii Iran na Israel wakakae meza moja pale Syria kwajili ya Assad? Hivi juzi tu hapa Israel kampiga biti Iran kuhusu kumsaidia Assad halafu leo hii yeye ndio akawe msaada kwa Assad? Siasa za mashariki ya kati kati huzijui bora uwe unasoma post za weñgine tu humu.

Nyuma ya huu mgogoro uliopo Syria wale waasi wanapewa backup na turkey, USA hata Israel wenyewe wamo.
Screenshot_20241206-183701.jpg
 
Mchezo unaanza kwisha huko Syria,Waasi wa Kisunni wanazidi kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom