Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Una matatizo ya kiakili, muone doc mapema.Yote yanawezekana kwa waisiharamu maana uwezi kuwa muisiharamu na ukawa na akili ...mimi nikiona muarabu na mzungu wakiuana napata furaha kubwa sana au muarabu kwa muarabu au muislamu kwa muislamu wakichinjana kwangu ni faraja haswa
Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...Weka source tujipakulie wenyewe
Sio kweli, hajaomba na hana mpango wa kuomba.Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.
Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi.
Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
Hebu pitia hii link kidogoSio kweli, hajaomba na hana mpango wa kuomba.
Assad kaambiwa awafukuze Wairan na Vikundi vya Mashia including Hezbola ndio atasikilizwa.ππ
WALOKOLE NI MATAHIRA
Kwamba leo hii Iran na Israel wakakae meza moja pale Syria kwajili ya Assad? Hivi juzi tu hapa Israel kampiga biti Iran kuhusu kumsaidia Assad halafu leo hii yeye ndio akawe msaada kwa Assad? Siasa za mashariki ya kati kati huzijui bora uwe unasoma post za weΓ±gine tu humu.
Nyuma ya huu mgogoro uliopo Syria wale waasi wanapewa backup na turkey, USA hata Israel wenyewe wamo.
Tahira mamayako aliyezaa chizi!!WALOKOLE NI MATAHIRA
Hiyo ni habari bandia.Hebu pitia hii link kidogo
Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
Tuwekee isiyo bandia ili tufanye comparison, tuchambue tuone mchele ni upi na pumba ni zipi.Hiyo ni habari bandia.
Sasa niiweke niitoe wapi wakati haipo?Tuwekee isiyo bandia ili tufanye comparison, tuchambue tuone mchele ni upi na pumba ni zipi.
wakiwa matahira we utakuwa nani kima wewe?WALOKOLE NI MATAHIRA
Huwa mnapata wapi ujasiri wa kutukana watu hovyo mitandaoni ?Tahira mamayako aliyezaa chizi!!
Ni malezi pamoja na mafundisho ya kiimani anayopewa mtu na sehemu anakoabudia.Huwa mnapata wapi ujasiri wa kutukana watu hovyo mitandaoni ?
Afagie kabati lake afukuze panya wote kutoka iranAssad kaambiwa awafukuze Wairan na Vikundi vya Mashia including Hezbola ndio atasikilizwa.ππ