MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji wengine katika kipindi hicho kigumu.
Picha zinafuata muda sio mrefu.