Ni kweli bilionea Midimu alipofariki gari zake zilikaa wiki nzima bila kuzimwa zikiomboleza?

Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji wengine katika kipindi hicho kigumu.
Picha zinafuata muda sio mrefu.
Kamba
 
Attachments

  • 20220327_120811.jpg
    20220327_120811.jpg
    30.9 KB · Views: 9
  • 20220502_124151.jpg
    20220502_124151.jpg
    20.8 KB · Views: 8
Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji wengine katika kipindi hicho kigumu.
Picha zinafuata muda sio mrefu.
Nasubiria picha za milio ya hayo malori ili nijiridhishe kama ni kweli,zikija picha peke yake ntakuwa na mashaka...
 
Back
Top Bottom