MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ngoja waje waombelezaji kukujibuMidimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji wengine katika kipindi hicho kigumu.
Picha zinafuata muda sio mrefu.
Ungepiga na hesabu kabisa!Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji wengine katika kipindi hicho kigumu.
Picha zinafuata muda sio mrefu.
Sjui kwanini matajir wengi wa kanda ya ziwa ni wa ndaguHuyo mwenye visenti vya ndagu naye ni billionaire? Hii nchi ngumu sana
Bilionea mkuu ,si unaona yadi ilivyochafuka malori hapa mwanzaHuyo mwenye visenti vya ndagu naye ni billionaire? Hii nchi ngumu sana