Hivi huyo Bob ana umuhimu gani kwenye jamii?Ni kawaida mkuu Kuna sababu nyingi za kuangalia..
Kuna Boss mmoja alipata dharula ghafla na wakati huo kutokana na huo ugonjwa akawa Hana access ya kutoa pesa zake ilibidi ndugu wapitishe bakuli..alivyopona alilipa pesa zao na akaacha tabia ya umimi yani kila pesa yake awe na access nayo yeye tu ili iweze kutoka..
Anyway bob junior apone haraka ili arudi kwenye majukumu yake.
Ni kijana wake kweli au masikhara Tu?Mzee wa tiktok kwanini asimtibie kijana wake?
Ni kiumbe haiHivi huyo Bob ana umuhimu gani kwenye jamii?
Wasanii wa bongo wengi wanaishi maisha ya kuigiza. Wakiumwa ndo wanakuwa wao halisi.Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga?
Je hizi taarifa ni za kweli?
Wasanii wa Tanganyika wanaishi Maisha mabovu sanaNimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga?
Je hizi taarifa ni za kweli?
Siyo wasanii tu mpaka wananchi wa Tanganyika wote dhohofu kabisa kasoro viongozi waoWasanii wa Tanganyika wanaishi Maisha mabovu sana
Ni kweli, ila hawa wasanii ukiona katika mitandao utasema wakina Jay z ila walipatwa na shida utagundua wewe una nafuuSiyo wasanii tu mpaka wananchi wa Tanganyika wote dhohofu kabisa kasoro viongozi wao
Shida sio ushuani au masikini bali anaumwa nini?Si bob kwao ni ushuani
Nyuma ya camera wana maisha magumu sana mkuuKwa mtu kama huyo kukosa pesa ya matibabu sio jambo la kawaida mkuu
Point . Issue NI anaumwa nini?Shida sio ushuani au masikini bali anaumwa nini?
Kuna jamaa huko mbeya anaitwa Mwaisaka. Hata yeye hajachangiwa na wafugaji wenzake, ndiyo nikaulza huyo bob yeye ana umuhimu gani?Ni kiumbe hai
Ana umuhimu ndio maana kuna siku yake inaitwa Bob Marley day..Hivi huyo Bob ana umuhimu gani kwenye jamii?