Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Ashiriki sala na Novena ya Roho Mtakatifu au ya Mtakatifu Rita wa Cascia, atapona tu
Wa wapi huyu?Ashiriki sala na Novena ya Roho Mtakatifu au ya Mtakatifu Rita wa Cascia, atapona tu
We ni mkatoliki? Mtafute google utamjua vizuriWa wapi huyu?
Kijana aliyemtoa MONDY..Bob Junior ndiyo nani?
Ni Simba Maarufu kule Serengeti, ambaye Wahuni walimtoa roho akigombea kuendelea kutawala..Bob Junior ndiyo nani?
Mjukuu wa Bob MarleyBob Junior ndiyo nani?
😀😀Ni Simba Maarufu kule Serengeti, ambaye Wahuni walimtoa roho akigombea kuendelea kutawala..
Nilipoona hii comment ndo nimemkumbuka mwambaOyoyo oyoyo oyoooyo