Ni kweli Chriss Brown amecopy kwa Diamond Platnumz? Wabongo wabishana mtandaoni

Ni kweli Chriss Brown amecopy kwa Diamond Platnumz? Wabongo wabishana mtandaoni

Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga

We nae hebu Kwendraaaa. Kwani lazima mtu ajulikane duniani au nyimbo zake zipigwe marekani ndo kazi yake iweze kuwa copied.? Mfyuuuuu. Incase you are forgetting hii ni 21st century and nothing has took over kama social medias sio tu chris brown peke yake hata team yake nzima inayomsaidia kwenye kazi zake ambayo haijulikan na mtu yoyote pia imesambaa kwenye social medias. It's highly possible kuwa wameona popote pale kazi ya diamond na wakapenda the idea. Kwa taarifa yako mzungu hawezi toa idea kwa kutizama kwao huko pekee huwa wana widen their minds na popote atakopoona kitu kitakacho mu inspire ana create idea or they copy. Sema tu ndo hivyo few of them huwa wana acknowledge wengi wanatunga uongo. Msikremishe
 
Hahahaaaa timu domo mnajua kunifurahishaa haya hongereni kwa boss wenu kucopiwa na Chris Brown[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Beyonce amewahi copy dancing moves za Ivory coast, na aliacknowledge baada ya kazi,Wamarekani wanaona kazi kibao za kiafrica,ILA KWA SABABU WATANZANIA WANA UCHAWI WA ASILI,BASI DIAMOND NDO ALIMCOPY CHRIS BROWN KABLA HAJASHOOT VIDEO,.......WABONGO NI WACHAWI SANA
 
Wafrika kwa kujizarau, hawajui siku hizi dunia ni kijiji ambacho kinaunganisha na social media na uhakika hata wao wanaufuatilia mziki wa africa. Beyonce alicopy staili za uchezaji za South Africa (mapansula) ktk nyimbo yake who run the world, baadaye akaja acknowledged wale jamaa waliomfundisha, hata cris brown kwenye nyimbo yake moja kama sikosei alimshirikisha nick minaj, alipokuwa akihojiwa BET akasema ktk hiyo video aliichukua staili ya azonto, ambayo alifundishwa na wizkid walipokuwa na show Ghana, kwa hiyo inawezekana wakawa wamecopy.Najiuliza watu wanahoji eti criss amemuona wapi Diamond , sasa kwanini hujiulizi Swizz beatz producer Mkubwa marekani, ambaye ameuanza mziki kabla ya criss brown, wimbo wa NANA wa DAI, aliusikiliza wapi mpaka baadaye akauposti ktk akaunti yake ya insta, kwa hiyo usishangae ktk dunia hii ya utandawazi kila kitu kinawezekana.
 
Diamond bado hajiamini anapenda sana kuiga, hasa idea za video kutoka kwenye video za wamarekani, kitu ambacho kinamshusha sana ukizingatia ameshakuwa msanii wa kimataifa
 
Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga
Team kibakuli macho kuvimba mtaisoma mwaka huu
 
Attachments

  • 1471902587968.jpg
    1471902587968.jpg
    18.4 KB · Views: 66
Kwenye Idea za Video mimi huwa sisemi na wala huwa siamini kwenye ku copy karibia video nyingi idea ni ile ile
 
ndo tukubali kuwa sometimes idea zinagongana tuu,yani coincidence tuu.la sivyo kama umewahi kudhani diamond kakopi scene ya video ya msanii fulani wa nje,bhasi amini na hii chris brown kakopi tusimpendelee mtu tujudge kwa vigezo vlevle vya "video ipi ya kwanza kutoka" tusiseme ooh chris wa mbele bla bla bla!
 
Hilo neno ku copy umelitumia vibaya ivi hujaona hii nymb mpya ya kidogo alvyocopy karibia nyimbo nne za wasann wa mbele
 
Back
Top Bottom